Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,655
- 16,022
Usiwasahau manesi na wake wa AscariKweli udugu hakuna watu wanachanganyikiwa na ndoa km walimu. Walimu ukiwakuta story zao Mr kafanya hivi, Mr kafanya vile
Mimi nawashauri wanaume wanaotaka mitaji wadate walimu, wanaenda kuombewa mikopo buree kazi yake ni kumbebisha nitakuoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Heeee baba nanii this....Mr this.....yaani mme wangu that mxxxxiiew