



Thanks dada angu mzuri mzuri you are missed
Yani ilibaki kidogo nikutag ila nikajua lazima tu utaiona cause huwa naona upo active humu, this was for you na nilikuwa nahesabu muda hapa hadi saa fulani usipoiona nakutag uione ndio niifute, bora ulivyojileta
Manake nimekumbuka ile siku uliniomba nikakuambia siku simba ikichukua ubingwa ndio nitajipost ila haikuchukua, jana nikaona acha nitupie walau dada angu aione ili nisibaki na deni, maana sisi wengine siku hizi kuingia selfika ni mara moja moja sana