Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,662
- 16,034
Haya ngoja tuvute muda huenda akatubless na kaselfieselfika ya Iryn ikiwekwa humu
Haya ngoja tuvute muda huenda akatubless na kaselfieselfika ya Iryn ikiwekwa humu
😅😅😅😅... Mie nipo nyumbani dadaHahaha mdogo wangu kwani wewe sasa hivi uko wapi
😅😅😅 Sasa hivi nakuona ndani ya L300 tuuu dada yakeHaha mdogo wangu haya yote umeyatoa wapi, niliwaambia mimi ni housegirl natafuta kazi ya ukonda wa mabasi ya mikoani, hayo ya uafande mbona nilishasema nilikuwa nawazingua asee
😬😬😬😬😬😬Niko Nyumbani [emoji16][emoji16]
Nzuri na hivi na njaa sijui nije
KaribuNzuri na hivi na njaa sijui nije
Asante nakujaKaribu
Kumbe una namba yake mwambie mimi anani inspire sana
Muache asomeAsante nakuja
Shikamoo auntKaribu
Naenda kula supu nisuhuze koo anajua kupika 🤣🤣Muache asome
Hongera chiefNaenda kula supu nisuhuze koo anajua kupika 🤣🤣
WA kusoma Huyo mm au 😂Muache asome
Marhaba aunt mambo vipShikamoo aunt
Haha niko dodoma[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Ahahahh mm naenda kudoea tu mzeeHongera chief
Kwa mapishi hapo umefika
Aunt yuko vzr
Ntamwambia!!🙂Kumbe una namba yake mwambie mimi anani inspire sana
Ahahahha namkubaligi sana life lake ni role model wanguNtamwambia!!🙂
Kanifurahisha...eti anamshawishi Jo wawe wanakatika kwenye ngoma zao ngumu za Hip Hop!😁