National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
😅😅😅 Huyo afande huwa namuelewaaa sanaaa... Yupo real sanaaa... Inabidi nikamsalimie tu hakuna namnaNaona mkuda umeshafika eneo la tukio 🤣🤣
😅😅😅 Huyo afande huwa namuelewaaa sanaaa... Yupo real sanaaa... Inabidi nikamsalimie tu hakuna namnaNaona mkuda umeshafika eneo la tukio 🤣🤣
Kamsalimie halafu ulete mrejesho 😁😁😅😅😅 Huyo afande huwa namuelewaaa sanaaa... Yupo real sanaaa... Inabidi nikamsalimie tu hakuna namna
😅😅 Sema nahisi sasa hivi kawa captain... Haitumii tena G.XR mitaaa ambayo anapitaa siku hizi naona L300 tu.. Jadda ni wewe huyo au umebadili njia Pilot wanguKamsalimie halafu ulete mrejesho 😁😁
Hivi ni afande kweli au geresha tu za kuwatisha wana ? 😃😅😅 Sema nahisi sasa hivi kawa captain... Haitumii tena G.XR mitaaa ambayo anapitaa siku hizi naona L300 tu.. Jadda ni wewe huyo au umebadili njia Pilot wangu
Afande kweli mkuuu... Officer... Siku hizi atakuwa Air forceHivi ni afande kweli au geresha tu za kuwatisha wana ? 😃
Mazee angalia usijepelekwa Mabwepande au kule Changanyikeni nyuma 🤣 🤣Afande kweli mkuuu... Officer... Siku hizi atakuwa Air force
😂😂😂
😅😅😅 Huyu hawezi ana huruma Sana, labda awe kabadilishwaaa hivi karibuniMazee angalia usijepelekwa Mabwepande au kule Changanyikeni nyuma 🤣 🤣
retaaaa mrejesho tu😅😅😅 Huyu hawezi ana huruma Sana, labda awe kabadilishwaaa hivi karibuni
😅😅 Afande huyo ni nampa maua yake.. anapenda Sana magari na anayajua Kwa sehemu tulikuwa road trip mwaka janaaa na miaka ya nyumaaa.. MTU Powa sanaaretaaaa mrejesho tu
Basi msalimie sana Afande.😅😅 Afande huyo ni nampa maua yake.. anapenda Sana magari na anayajua Kwa sehemu tulikuwa road trip mwaka janaaa na miaka ya nyumaaa.. MTU Powa sanaa
Afande hadi akubali kutembelewaaa... Nikiwa Dodoma yupo Dar es salaam... Nikiwa dar es salaam yupo Dodoma 😅😅😅😅Basi msalimie sana Afande.
Aisee, nimecheka sana!Afande hadi akubali kutembelewaaa... Nikiwa Dodoma yupo Dar es salaam... Nikiwa dar es salaam yupo Dodoma 😅😅😅😅
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]