Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kufunga kilemba au,?
Kufunga mtandioo kichwani leo nilikua kwa mwenye Halmashauri yake nimepiga jarabibibii sijui ndio hijabu au jubaaa mnaita mi sijui hata😊😊😁!! mtandio kichwani haukai Kabisaaaa!!
 
Kufunga mtandioo kichwani leo nilikua kwa mkurugenzi nimepiga jarabibibii sijui ndio jubaaa mnaita mi hata sijui 😊😊😁!! mtandio kichwani haukai Kabisaaaa!!
Cousin hv vitu vina wenyewe....mimi kilemba kilinishinda nafungaga kama wabibi napita hv 😀😀😀
 
Cousin hv vitu vina wenyewe....mimi kilemba kilinishinda nafungaga kama wabibi napita hv 😀😀😀
Yaniii!! Ile asubuhi nikataka nikuulize cuzooo hivi wee ni muislam eehhh, hebu fanya kuja kuokoa jahazi hapaaaa ni dakika sifuri huooo mtandio umepereruka ..😁😁😁😊!
 
20230506_205744.jpg
 
Back
Top Bottom