Afande kweli mkuuu... Officer... Siku hizi atakuwa Air forceHivi ni afande kweli au geresha tu za kuwatisha wana ? 😃
Mazee angalia usijepelekwa Mabwepande au kule Changanyikeni nyuma 🤣 🤣Afande kweli mkuuu... Officer... Siku hizi atakuwa Air force
😂😂😂
😅😅😅 Huyu hawezi ana huruma Sana, labda awe kabadilishwaaa hivi karibuniMazee angalia usijepelekwa Mabwepande au kule Changanyikeni nyuma 🤣 🤣
retaaaa mrejesho tu😅😅😅 Huyu hawezi ana huruma Sana, labda awe kabadilishwaaa hivi karibuni
😅😅 Afande huyo ni nampa maua yake.. anapenda Sana magari na anayajua Kwa sehemu tulikuwa road trip mwaka janaaa na miaka ya nyumaaa.. MTU Powa sanaaretaaaa mrejesho tu
Basi msalimie sana Afande.😅😅 Afande huyo ni nampa maua yake.. anapenda Sana magari na anayajua Kwa sehemu tulikuwa road trip mwaka janaaa na miaka ya nyumaaa.. MTU Powa sanaa
Afande hadi akubali kutembelewaaa... Nikiwa Dodoma yupo Dar es salaam... Nikiwa dar es salaam yupo Dodoma 😅😅😅😅Basi msalimie sana Afande.
Aisee, nimecheka sana!Afande hadi akubali kutembelewaaa... Nikiwa Dodoma yupo Dar es salaam... Nikiwa dar es salaam yupo Dodoma 😅😅😅😅
Niko gudooo sana anko akee nimefurahi kukuona tena!!Auntiee am back. 🤗☺️💖💖💖
Za kwako mummy nimekumiss sana mi pia.
Sema majukumu mengi 😝😝😝. Anyway
Nipo sana
🤓🤓 How's you?
Naked kweriiii kweriiii!!
Nafurahi kukuona trena mama la mama!!!