Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wew Mwalimu kabisa ila nilichogundua Siri ya chapat nzuri ni kuacha ngano Kwa muda hata saa 1 baada ya kukanda
Nilipewa Kaz ya kuwapikia watu 8 chakula nikakanda ngano saa 11 nikarudi kulala nikachelewa kuamka sikuziroll na zimetoka lain ajabu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie kupika hadi nitake, G nikiendaga kwake utasikia "ukiwepo km haupo sasa ndo nn aaah" namjibu nitue wee kaka mie sio hausigeli wako, na sijaja hapa kukupikiaa, kabla ya kukutana na mie alikua anakupikia nani? Hapo buzzy kuswama mitandaoni sina habari, akipika fastaa nshagoza makalio kulaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwali wangu uvivu 🤣🤣🤣
Ila kupika hobby aisee
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Picha tu dear au sijui sikuhiz nakunywa maji mengi [emoji1787][emoji1787]
Au nawee uko ktk makoro koro ya mafungu? Jero kwa buku kutokana na kipimo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie kupika hadi nitake, G nikiendaga kwake utasikia "ukiwepo km haupo sasa ndo nn aaah" namjibu nitue wee kaka mie sio hausigeli wako, na sijaja hapa kukupikiaa, kabla ya kukutana na mie alikua anakupikia nani? Hapo buzzy kuswama mitandaoni sina habari, akipika fastaa nshagoza makalio kulaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£! Wee akili yako si unaijua mwenyewe!!
Wanasema mwanaume tumbo kwanza!! Yani ale ashibe sasa wewe na bange zako hizo Siku mtakauka mnazagamuanašŸ˜‚šŸ˜‚ā˜ŗļø!
 
Wew Mwalimu kabisa ila nilichogundua Siri ya chapat nzuri ni kuacha ngano Kwa muda hata saa 1 baada ya kukanda
Nilipewa Kaz ya kuwapikia watu 8 chakula nikakanda ngano saa 11 nikarudi kulala nikachelewa kuamka sikuziroll na zimetoka lain ajabu
Kuacha hata siku nzima.

Chapati hazitaki haraka.

Sasa zile za kukanda na kuchoma hapohapo lazima chapati itoke ngumu.
 
Au nawee uko ktk makoro koro ya mafungu? Jero kwa buku kutokana na kipimo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jero kwa buku Kutokana na kipimo šŸ™ŒšŸ™ŒšŸ™ŒšŸ™ŒšŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£!

Mbavuuu zanguuu coca pulllllllliiiiiiiiizzzzz 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!
 
Kuna jirani yangu alipika kma CD🤣🤣🤣
Alipika Kaukau šŸ˜‚šŸ˜‚ā˜ŗļø!!
Chapati nyokoo Sana zikikuamuliaa kukuaibishaa ni zinakua kaukauu kabisa šŸ¤ šŸ™ŒšŸ™ŒšŸ™Œ!!
 
Alafu alipika za familia nikaona aibu mumewe sijui alijisikiaješŸ¤£šŸ¤£šŸ˜‚šŸ¤£šŸ¤£
 
Back
Top Bottom