Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nasemaaaajeeeeee.. lazima tukakukalie kikaoooo na rangi yako inayokubeba hioooo[emoji3526][emoji16][emoji16]!!
Unaambiwa sio mzuri anaringia weupee, sasa km weupee rahisi nawee kuwa mweupee uringee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mtahaha na makoro koro, watu wanawakaaa orijinaleeeeeee.
Na hawavimbi wala nn.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwezi amini Leo niliamka na mtu, acha nimcharue afu bila 7bu, yaan had anashangaa, mwenzenu sijui nikojee yaan nikiamka na mtu ntamtindinganya hata bila 7bu .
Hebu nae atinginyikee nisogeze masaa kwanii sh ngapi banaaa! Naweka siti Kabisa hapaaaa

🙇🙇🙇🤠🤠
 
Unaambiwa sio mzuri anaringia weupee, sasa km weupee rahisi nawee kuwa mweupee uringee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mtahaha na makoro koro, watu wanawakaaa orijinaleeeeeee.
Na hawavimbi wala nn.
The pain is real shougaaangu No way🤠🤠!!!

!
Nasubiria saa 4 nifurahii na nafsi yangu miee😍😍
 
Wew Mwalimu kabisa ila nilichogundua Siri ya chapat nzuri ni kuacha ngano Kwa muda hata saa 1 baada ya kukanda
Nilipewa Kaz ya kuwapikia watu 8 chakula nikakanda ngano saa 11 nikarudi kulala nikachelewa kuamka sikuziroll na zimetoka lain ajabu
Walahii mwamba anafauduuuuuuu 😋😋😋😋!!
Hongera sana mamaa masaptasapta!
 
Watu na rangiiiiii zaooo mjiniiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Shangaziii ake trambaaaaaa, rangi ya mtumee, rangi ya dhahabuuu.

Haihitajiii torch, pakuwekwa panaonekanaa penyeweee.
😀😀😀Picha tu dear au sijui sikuhiz nakunywa maji mengi 🤣🤣
 
Watu na rangiiiiii zaooo mjiniiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Shangaziii ake trambaaaaaa, rangi ya mtumee, rangi ya dhahabuuu.

Haihitajiii torch, pakuwekwa panaonekanaa penyeweee.
"Pa kuwekwa panaonekana penyewe"🤠🤠😁😁😁🙌🙌🙌

Mwisho wa kunuuu!!
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Back
Top Bottom