Poa usijali bro, nakuja🤣🤣lete ushahidi hapa..... hii nakataa katu katu😂
Hongera ya nini bro😂hongereni sana na Rabbitus
Aunt mambo yalikua mengi.Miss you too ankoli akee jr!!!
Karibuu tena selfikaaa! Juzikati Ulipotea kudogooo!!
Shem Tinsley mbona leo hata sio weekend, na bado ni muda wa kazi huu. Umeinywea wapi hii. 😢Asante sana Mkuu
🙏🙏
Love is beautiful jamani
sungura mjanja sanaHongera ya nini bro😂
Niunganishe mimi kwenye kazi ya uhousegirlMimi niko Dar jamani natafuta mtu aniunganishe kwenye kazi za ukonda wa Mabasi ya mikoani specifically mikoa hii Mbeya, Kilimanjaro, Tanga, Dodoma, Mwanza, Arusha, Iringa wakuu nimechoka kazi za uhausigeli![]()

Unanionea bro🙆sungura mjanja sana
Aiseee, hiyo ya leo ni hatariLet me hold you tight and whisper sweet things to you .
My feelings for you are real
Nakunywa wine hapa 😂😂
Karibu tunywe wote .
Shem Tinsley please, acha hii. 🙏Ich liebe dich
ndo inavotakiwa😂Nimepatwa na ganzi ya moyo hapa.
Hapana aisee, utani ukizidi sana inakuwa dharau.ndo inavotakiwa😂
mapenzi sio mchezo
😂Usijali, nitakuchek baadae.Jamani nimepigwa kibuti 😥😥
samahani mkuu🙏🏾Hapana aisee, utani ukizidi sana inakuwa dharau.
🤣🤣🤣 Huna mbio wewesamahani mkuu🙏🏾
ngoja nisepe zangu😬
nasubiri ushahidi kwamba nalelewa na jimama😂🤣🤣🤣 Huna mbio wewe