Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kumbe bongo raha hivi...😊
1000101459.jpg
 
Acha kabisa mama jr. Mimi hata robo simfikii huyu mngoni. Ni pro max huyu. Fikilia kaanza yuko darasa la 2 huko msitu flani unaitwa chandamali[emoji1787][emoji1787] cocastic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na nyumba ya baba James ikiwa haija isha, ile ilikua guest bubu yetu, tunabadilisha vyumbaa utadhani tuliwahi changia hata trip ya mchanga wa kujengea msingiii

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi niko Dar jamani natafuta mtu aniunganishe kwenye kazi za ukonda wa Mabasi ya mikoani specifically mikoa hii Mbeya, Kilimanjaro, Tanga, Dodoma, Mwanza, Arusha, Iringa wakuu nimechoka kazi za uhausigeli [emoji3064][emoji3064]
Niunganishe mimi kwenye kazi ya uhousegirl
Nipo serious.


Niliona ABC wametangaza nafasi ya kazi
Bus hostess.
Jaribu huko.

Gari yao uhakika,Route ya Mbeya ipo na ndio gari ya uhakika siku hizi.
Ndugu zako Sauli wamegeuka matapeli baada ya biashara kuwashinda[emoji1787]
 
Let me hold you tight and whisper sweet things to you .
My feelings for you are real

Nakunywa wine hapa 😂😂
Karibu tunywe wote .
Aiseee, hiyo ya leo ni hatari
Bora urudi home tu kwa kweli, hicho kiwango kinakuzidi. 🙆
 
Back
Top Bottom