Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tangazo hilo uwenda nimekosea kuandika ila please nisaidie kama kuna vijana kesho waje ofisn izo nssf watashughulikia wakiwa wanapewa training nipo nje muda
Majobless tumekuelewa mbona.
Tuje saa ngapi
 
Mimi niko Dar jamani natafuta mtu aniunganishe kwenye kazi za ukonda wa Mabasi ya mikoani specifically mikoa hii Mbeya, Kilimanjaro, Tanga, Dodoma, Mwanza, Arusha, Iringa wakuu nimechoka kazi za uhausigeli [emoji3064][emoji3064]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada hauko serious wee. Khaaah
 
Back
Top Bottom