Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Hii haikufai wewe😅Hiyo Grant's inaniongezea kiu ujue😋
Savanna😇
Hii haikufai wewe😅Hiyo Grant's inaniongezea kiu ujue😋
Ndiyo Mkuu natafutaSerious ! Kazi ya haosegirl?
Nilishaachaga izo mambo mkuu!Hujatupia kitambo sana ,Odo
Umeshindaje lakini?Okay acha nichangamke kidogo
Nataka nijifunze izo vitu, savanna nishaizoea saivi hainileweshi etiHii haikufai wewe😅
Savanna😇
Kesho siendi nafanya kaz nyumbani najiaanda na safari juma mosTutampitia ofisini kwake
Jiandae mapema Mwachiluwi
Salama tu .Umeshindaje lakini?
Upo nyuma ya four points?
We si umesema kesho asubuhi tuje ofisini boss utupe kaziKesho siendi nafanya kaz nyumbani najiaanda na safari juma mos
Nashukuru kwa ujumbe wako mzuri🙏Salama tu .
Yah wewe njoo ukishafika nipigie nitakupa mtu wakukupokea nipo nje ya mudaWe si umesema kesho asubuhi tuje ofisini boss utupe kazi
Okay thanksNashukuru kwa ujumbe wako mzuri🙏
We nilikupa connection ukapotezea ujue, ila ok ,nitakuonaNdiyo Mkuu natafuta
Kama una connection naomba
Aaah boss mwenyewe huyoooo, una hadi assistantYah wewe njoo ukishafika nipigie nitakupa mtu wakukupokea nipo nje ya muda
Connection ipi?We nilikupa connection ukapotezea ujue, ila ok ,nitakuona
Itapendeza tena kesho athuman si atakuwep itakuwa raha sana ngoja niangalie ratiba ya kesho wavuviAaah boss mwenyewe huyoooo, una hadi assistant
Basi sawa, me kesho mapema nitakua hapo then jioni wavuvi camp kama kawa
Hahahahaha,sawa ,Boss umeelewekaConnection ipi?
Kama ni ile mambo ya podcast Mimi sina ujuzi nayo kabisa.
Natafuta uhousegirl,Elimu yangu kidato Cha nne failure.
Kama unayo naomba Boss.
Nipe sasa kaziHahahahaha,sawa ,Boss umeeleweka
Duh basi umepanda level kidogo😅Nataka nijifunze izo vitu, savanna nishaizoea saivi hainileweshi eti