Aliekuroga nae alikuwa amerogwa sio bure 🤣Kutegaa madanga na sponsaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aliekuroga nae alikuwa amerogwa sio bure 🤣Kutegaa madanga na sponsaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂😬!!Uko mjini lakini unafundishwa na mtu yuko Nyakiboo 🤣🤣 pale TCRA unafataga nini sasa.
Kuna wakati maisha yanamfanya mtu apambane na lolote mbele yake. Kama kweli usikate tamaa, ushindi upo.
Haha kwani mimi nina nini eti jamaniSio kwa huyo aliyetoa hiyo Comment, labda yeye ndo anatafuta mtu waa hivyo. Naelewa sana maisha.
None of the above!Mkuu wa kambi
Mkuu wa matahira
Mkuu wa mashetani
Mkuu wa kaya
Umemaaniaha mkuu ipi hapo😂😂
Okei aimini woti duyumini bai colingi mi mkuu😂None of the above!
(No English no service REO kazini 😁😁😁😁😂)
Itsi e veri komon / nomo nem hia in jeiefu!!☺️Okei aimini woti duyumini bai colingi mi mkuu😂
Ooh so duyu no zeminingi ofu zat nemuItsi eh veri komon / nomo nem hia in jeiefu!!☺️
good stuff👌🏾W.end nimeanza mapema sana Lenie View attachment 2686699
Yesi ai du!☺️Ooh so duyu no zeminingi ofu zat nemu
Heshima yako brogood stuff👌🏾
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mlongoo emu niwachee.Aliekuroga nae alikuwa amerogwa sio bure [emoji1787]
Utajing'ata bure.Yesi ai du!☺️
heshima yako mhenga🙏🏾Heshima yako bro
Wee dada Una occupies 2 kwa wakat m1, ndo uwe beki 3?Haha kwani mimi nina nini eti jamani
🤣🤣 Sawa kamwali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mlongoo emu niwachee.
Sijarogwa mie, wakati nakuja Dar watu walijua mzaliwa na mkulia wa huku kumbe walaaa, kujaa kuwaambia nakotokea acha wabishee.
Sasa nikawa naongea kile kilugha cha ndani ndani ndo wakawa wana amini.
Ulijuajeee ☺️☺️☺️!Utajing'ata bure.
Jr mzima?
We mi ndio kwanza nimeua 6 hapa, labda umenifananisha😂heshima yako mhenga🙏🏾
Okay, salamu mingi sana zimfikie hapo shule na home akirudi.Ulijuajeee ☺️☺️☺️!
Kingereza chenyewe nilifeliiigiiiii 😂😂😂!!
Jr ako bieen bado yupo shule anatoka saa 11 Jioni!!