Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapitwii mtyuuu mnywanii unapitwajee kwa mfano!!


ukipita Nyakiboo usisahau kunisamiliaaaa mnywaniiii!!
Hahaha nimekosogelea Sana kwa speed ya 5G

Anza kunimwagia sela mapema kabisa!! Kwa jinsi ulivyomlisha matoke uyo mmathematishiani hhaha natumai yatakuwemo yakutosha
 
Hahah.. ashakula matoke ya kutoshaa mnywanii yapo kama yotree!
Screenshot_20230701-220754~2.png

Ngoja niendelee kujiweka fiti mnywani.

Karibu Sana shemela Dr Lizzy breakfast
 
Back
Top Bottom