Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,573
- 235,412
Wa mchongo[emoji23]Mdada mrembooo, [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
Na matege yangu ya V
Wa mchongo[emoji23]Mdada mrembooo, [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
Mbona hii sio camera ya aifon kijanaGood morning selfika members View attachment 2686412
Iphone kwa ajili ya picha natumia simu mbili mkuu🤣Mbona hii sio camera ya aifon kijana
Ulitunywesha chai Ile siku eeh
Asa kwani hiyo ni video?😅Iphone kwa ajili ya picha natumia simu mbili mkuu🤣
Hivi wewe jamaa huwa unashibaga kweli?View attachment 2686135
Mabachela wenzangu karibuni
Ahaahah ngoja nipige picha na iPhone uoneAsa kwani hiyo ni video?😅
🤣🤣🤣Iphone kwa ajili ya picha natumia simu mbili mkuu🤣
Kabisa mkuu mpaka nabakiza foodHivi wewe jamaa huwa unashibaga kweli?
Una matatizo ya kiafya hiko ni chakula cha dogo wa miaka 5Kabisa mkuu mpaka nabakiza food
According to mama alisema tangu utotoni ulaji wangu ndio ulikuwa uhoUna matatizo ya kiafya hiko ni chakula cha dogo wa miaka 5
Mbona viatu vimezidi mguu mkuu utani tu
Sawa kama ni mambo ya kifamilia ngoja nikae kimya mzee wa diagnosis 😅According to mama alisema tangu utotoni ulaji wangu ndio ulikuwa uho
Na usiku utakiw kula sana ukitaka nile mpaka nivimbiwe kuwe na ugali mrenda dagaa za kukaanga au nyama Choma au kukaanga na kachumbali iwe na pilipili nyingiSawa kama ni mambo ya kifamilia ngoja nikae kimya mzee wa diagnosis 😅
Ushafika kijiweni unaazima ya mshkaji sio😂Ahaahah ngoja nipige picha na iPhone uone
Ahaha washikaji wote wanatumia Infinix na tecnUshafika kijiweni unaazima ya mshkaji sio😂
🤣🤣 Snitch weweAhaha washikaji wote wanatumia Infinix na tecn
Iyo hapo iPhone yako umefurahi🤣🤣 Snitch wewe
Yeah mara moja sio mbayaNalo pia ni zuri
Mayai yote ni mazuri ila ukila kila siku yanakinai
Chips na ugali kweli havikinai[emoji1787]Yeah mara moja sio mbaya
Ila chipsi hazikinaishi [emoji23] .