Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Na usiku utakiw kula sana ukitaka nile mpaka nivimbiwe kuwe na ugali mrenda dagaa za kukaanga au nyama Choma au kukaanga na kachumbali iwe na pilipili nyingi
Achana na mambo ya kizungu wenzako kila baada ya mlo mkuu wanakuwa na vi-snack vya hapa na pale mixer tea au coffee na vijuisi kula ushibe
 
Chips na ugali kweli havikinai[emoji1787]
Ila wali na tambi sasa[emoji119]
Yeah chipsi unaweza kula mchana na usiku na usihisi kitu .

Tambi yeah mimi napendaga noodles ndo naweza kula mara nyingi zaidi .

Ugali haukinai ni na mboga yoyote tu unaenjoy , hapo na dagaaa mchele , maharage , .
 
[emoji23]
Mimi nimepunguza
Aleji ilinibana.

Ila nimesikitika nywele Nkamu [emoji3064]ungeuliza kwanza[emoji24]

mimi pia nna aleji na harufu huwa naumwa kichwa ila siachi ha ha ha

Nkamu nilichoka kusuka na Dodoma hawajui kusuka unasuka gharama nywele mbaya hivyo ilikua inanibidi niwe namuita fundi wangu toka Dar ngoja nipumzike kwanza
 
Introduce yourself

20230713_092706.jpg

Cc; cocastic
 
mimi pia nna aleji na harufu huwa naumwa kichwa ila siachi ha ha ha

Nkamu nilichoka kusuka na Dodoma hawajui kusuka unasuka gharama nywele mbaya hivyo ilikua inanibidi niwe namuita fundi wangu toka Dar ngoja nipumzike kwanza
😭😭😭😭Nkamu ungesema
Kuna fundi hapo Dom ningekupa

Ni fundi haswa,,hakuna nywele inatoka haijui..na anasuka vizuri ,sijawahi kutana na fundi mwingine kàma yeye.
 
Antonnia

Shouzzz akee, nimenenepaa had naogopa, ulikua unasema nanenepa sana, nkawa nakukataliaa, jmos nilivaa suruali fulan, ilikua inapwayaa, eti ikanikaa tyt.

Nimekua km wakat niko 2nd yr, aaah nataka nikondee sasa.

Baadae ntakuwekea uonee chibonge mpyaa mjini.
 
Hongera sana udugu akee nasubiria hio blessing kwahamuu!

Na kishepu chako Utakua umenougaaaa balaa!😍
 
Back
Top Bottom