Umemisika mlongoAhahahahahah shindwa![]()
Jiselfishe chap
Umemisika mlongoAhahahahahah shindwa![]()
Sina jipyaUmemisika mlongo
Jiselfishe chap

mabachela hatujipunji hivo aiseeView attachment 2686135
Mabachela wenzangu karibuni
Sawa bhna kwahiyo najipunjamabachela hatujipunji hivo aisee
Umekata sana nkamu



Karibu tule kiporo kesho!🙂mwaliko puliiiz
Unaupiga mwingi Nkamu
Ushaivishaa?? Japo nimeshibaa ila nakuja kulaa


Mwenyeji unakulaa au unashtua minyoo wee??




Wapiiiio??Nimemficha huku
Nkamu nimechoka kusuka ila
najijua mimi ni bibi masumbuko huu mwaka hauishi nitaanza suka![]()



mie napenda uwe low cut ndo unanogaa dear.Na unawezaa kabisaaa,Nkamu napenda perfume napenda kunukia napenda nikikaa sehemu mtu ajiulize nimepaka nini!!



natengeneze Shazam ya perfumes, ikinusa harufu tu inatoa jina la perfumeNkamu nimechoka kusuka ila
najijua mimi ni bibi masumbuko huu mwaka hauishi nitaanza suka![]()


Asanteee dearKaribu tule kiporo kesho!![]()

Nkamu napenda perfume napenda kunukia napenda nikikaa sehemu mtu ajiulize nimepaka nini!!

ungeuliza kwanza
Sasa nikimaliza chote we utakula nini....?😁Mwenyeji unakulaa au unashtua minyoo wee??
![]()
Kwamba unapika ugali mdogo??Sasa nikimaliza chote we utakula nini....?![]()


