Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Kula uinjoySipati picha leo nitakavyojinonza
Kula uinjoySipati picha leo nitakavyojinonza
Wewe mie dakika mbili chali...natafuta chai ya tangawizi hapa japo nifike dakika mbili na sekunde 15Kila la kheri kiwashe kama unaliwakilisha taifa mwanawane 😊
😂😂😂Yeah nimepata mwongozo safi kabisa
Kama kuna cha kuongeza wewe ongezea
Maana Mwachiluwi ameongeza na embe bichi kama kiungo 😅
Oyster sauce shingapi?😂😂😂
Embe nalo linaongeza uchachu hivi ukitafuna ladha fulani hivi unapata
Oyster sauce tu labda tu kuongezea
🤣🤣🤣🤣 kudaaadeki hiyo sio poa kitu orgy mzeesema mzabzab kawa mchoyooo.. angetucheki hapa wanaaa... tukapige MMMF 😅😅😅
Amini maisha ni kula, kuvaa na kugegedaKula uinjoy
Hahahhah kumbuka kuna kufaAmini maisha ni kula, kuvaa na kugegeda
Kwenye tangawizi ongeza na mchaichai ukipata hiriki au karafuu changanyaWewe mie dakika mbili chali...natafuta chai ya tangawizi hapa japo nifike dakika mbili na sekunde 15
au kila mtu aende na manzi yake.. ila chumba kimoja🤣🤣🤣🤣 kudaaadeki hiyo sio poa kitu orgy mzee
Dunia mapito tulishaambiwaHahahhah kumbuka kuna kufa
Not sure ila inaanzia 10KOyster sauce shingapi?
Moja ya fantansy mkimaliza round ya kwanza ya pili mnabadilishana mamanziau kila mtu aende na manzi yake.. ila chumba kimoja
Hii nzuri hivi hii napimaje kwenye mboga yakoNot sure ila inaanzia 10K
Buy this one specifically .
haya ndio maneno sasa ... magori matatu yanahisika 😅😅Moja ya fantansy mkimaliza round ya kwanza ya pili mnabadilishana mamanzi
Nzuri yah ,inaleta savoury flavour pia inakupa dark caramel colour to your dish .Hii nzuri hivi hii napimaje kwenye mboga yako
😍😋😍😋💦Nzuri yah ,inaleta savoury flavour pia inakupa dark caramel colour to your dish .
Yeah , raha kujipa mwenyewe😍😋😍😋💦
🤣🤣🤣🤣 We baada ya kunipa pole na wewe ndio Mwenyekiti wa watoa pole JF unanicheka au nikuvue hicho cheo? Au unafurahi nilivyosutwa?😂😂😂😂Sipati picha ulikuwa kma umemwagiwa maji ulivopoa