Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,962
- 67,523
Ila pia kukausha maji maji ukimkaanga kama ajakauka vzr maji ngozi ile ya juu inatanuka na kuondoa mvuto wa chakulaSamaki hawana uvumilivu Sana km nyama wasije wakaozana hiv sio mzoefu na viungo ni rahis kukolea sababu ni lain muhimu wakat wa kukata vipande km ni Wakubwa awachane kidogo viungo viingie ndani kama hivi