Hivi ulisema unataka id ya kupatia ruhusa ya kubakia mjini eeh, nichek geto basi nikuprintieSeptember conference sio shida zangu kabisaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ntakuja Dec kwa Graduu bas. Imeisha hiyooooo
I'd?? Wee kuwa serious bas [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi ulisema unataka id ya kupatia ruhusa ya kubakia mjini eeh, nichek geto basi nikuprintie
Nipo hapa woolworth nachagua boxer mpya ya kuvaa mrembo akija apagawe. Dah boxer tatu 75k...hawa hatari.😅😅😅😅 hadi sasa hivi yupo kimyaaa.. ujue kapatwaaa na utamu wa pussycat... banaaa mzabzab bado umelewaaa nini.. au kamtoa mtoto out hapo Woolworths... achukue na viwalo baada ya kupewaa vitu adimu kabisaaa
Jamirex ndio wapi mkuu?Mke kasafiri mwanawane tabu tupu aisee 😅
🤣🤣🤣 yule demu wa mzabzab atakuwa ameamka na hangover leo. Nilishangaa mods waliufuta ule uzi nilitaka akamlale pale Jamirex Hotel
😅😅😅😅😅... safi sanaaaaNipo hapa woolworth nachagua boxer mpya ya kuvaa mrembo akija apagawe. Dah boxer tatu 75k...hawa hatari.
Nikitoka hapa nitakuna nae pale samaki ale msosi na savannah zake machinjo mida ya saa 11 ndio yanaanza
Kama chibaba unajua kupika hivi chimama wako kazi anayoNapenda kupika since niko mdogo
Umetisha mzeiyaa 😅Af nilijua ana kaanga kumbe anabanika awake naembe mbichi aikatie humohumo af apalie kama anavyo palia wali Mzee wa kupambania umesikia
Yeah nimepata mwongozo safi kabisaHabari
Bila shaka umepata mwongozo
IKo mbali kidogo ni pale Mwenge karibu na kituo cha mafuta cha Oryx, TRA road ila kwa huduma ulizotaka zipoJamirex ndio wapi mkuu?
Kila la kheri kiwashe kama unaliwakilisha taifa mwanawane 😊Nipo hapa woolworth nachagua boxer mpya ya kuvaa mrembo akija apagawe. Dah boxer tatu 75k...hawa hatari.
Nikitoka hapa nitakuna nae pale samaki ale msosi na savannah zake machinjo mida ya saa 11 ndio yanaanza
Akisogea hapo maeneo ya survey kuna rasi anauza mdindadindaa😅😅😅😅😅... safi sanaaaa
usituangashe...
kuna mchesho moja hapo sankara usogee mango ushushie juice ya viagraaa
Ila si umeelewaYeah nimepata mwongozo safi kabisa
Kama kuna cha kuongeza wewe ongezea
Maana Mwachiluwi ameongeza na embe bichi kama kiungo 😅
Samaki anakuwa mtamu sanaUmetisha mzeiyaa 😅
Mixer embe bichi daah!
Nimekukubali mwanangu 🙏Ila si umeelewa
Sipati picha leo nitakavyojinonzaSamaki anakuwa mtamu sana
Bei zikojeIKo mbali kidogo ni pale Mwenge karibu na kituo cha mafuta cha Oryx, TRA road ila kwa huduma ulizotaka zipo
sema mzabzab kawa mchoyooo.. angetucheki hapa wanaaa... tukapige MMMF 😅😅😅Kila la kheri kiwashe kama unaliwakilisha taifa mwanawane 😊