Sir mgax
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 1,828
- 3,128
Tresor Mandala GOODMORNING SIR.
hahahahahahaWewe ndo unategea hutaki kutupa vitu vizuri😹😹😹😹
Good Morning brotherTresor Mandala GOODMORNING SIR.
Nice.Good Morning brother
😁😁😁Siko Tena kwenye levo ya boyfriends day mim Niko above that😆
Mtoto unavidole lain hivi unaweza kuvunja ata biskuti kweli
Tajiri unaishi 😍😍🔥🔥
Tina ni rafiki Yako sasa ingekuwaje? Acha Tina ale mema ya nchi bana😅Tajiri unaishi 😍😍🔥🔥
Countrywide si ungeniwekaga tu kwa tajiri na mimi nile vyakula vya kizungu jamani…!! 😥😹😹
Wewe bhana mchele wa kamsamba usinikose..!! 😹Lamomy kichwa kinauma hapa alafu mapigo ya moyo yanaenda mbio. Hebu tupia Ile Benz hapa nipate kupona😍
Tina kaondoka, wewe force mambo nipoe hapo niwe Malkia..!! 😹😹Tina ni rafiki Yako sasa ingekuwaje? Acha Tina ale mema ya nchi bana😅
Umenikumbusha ule Michele w tunduma, Hadi Leo bi mkubwa anakuulizia😅Wewe bhana mchele wa kamsamba usinikose..!! 😹
Mi Benz nalitoa wapi na maisha haya magumu?
Vijora vimegoma kutoka hapa nawaza hata pesa ya kula sina..!!
Naona unanikwepa kijanja, 😹😹Umenikumbusha ule Michele w tunduma, Hadi Leo bi mkubwa anakuulizia😅
Please weka picha ya Benz nipate kuwa inspired, toka siku ile hadi Leo naiota tu. Please weka🙏
tajiri wap naishi kwa shemeji 😂Tajiri unaishi 😍😍🔥🔥
Countrywide si ungeniwekaga tu kwa tajiri na mimi nile vyakula vya kizungu jamani…!! 😥😹😹
Tina bado yupo, subiri kuna surprise kubwa sana😅Tina kaondoka, wewe force mambo nipoe hapo niwe Malkia..!! 😹😹
Nitakupa ya ganji dalali..!!
Salamu zimefika asee😍Naona unanikwepa kijanja, 😹😹
Nasubiri mchele huo wa kamsamba..!!
Bi mkubwa mpe hi sana..!!
Mwambie nampenda sana..!! 🥰
Benz sina labda uniweke Kwa Mfalme aniwezeshe..!! 🔥
Kwa shemeji kuzuri, basi niunganishe na shemeji yako 😹tajiri wap naishi kwa shemeji 😂
nitumie ata buku ninywe supu ya kongoro nilale boss wangu njaa kali
Maisha safi tajiri na router ya Voda pembeni..!! 🔥🔥