Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,262
- 49,202
😀😀😀Naanza kuzeeka natak nistaafu kutoa pole😀🤣🤣🤣🤣 We baada ya kunipa pole na wewe ndio Mwenyekiti wa watoa pole JF unanicheka au nikuvue hicho cheo? Au unafurahi nilivyosutwa?
mzee unajisema mwenyewe😂Halafu watu bado wanaoa wanawake kwa kutumia kigezo cha tako. Inasikitisha sana! 😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
View attachment 2683936
Kaka...jina la u boss Hilo Lina wenyewe....🤣Madam umemisika sana hapa
Uselfike boss mkubwa
😀😀Ubaya ubaya tu
Nasikia ni sauce nzuri sanaYeah , raha kujipa mwenyewe
Kula vitamu .
Best Asian flavour .
Naamini 100% kuwa hujanielewa vizuri kamanda wangu. Ungenielewa usingesema hivyo!mzee unajisema mwenyewe😂
karibu chama cha wala mifupa
we mzee una siasa sana😂Naamini 100% kuwa hujanielewa vizuri kamanda wangu. Ungenielewa usingesema hivyo!
➡️➡️➡️ Tako linapaswa kuwa sifa ya ziada na siyo sifa-mama!
View attachment 2683951
MmhHalafu watu bado wanaoa wanawake kwa kutumia kigezo cha tako. Inasikitisha sana! 😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
View attachment 2683936
Ulikuwepo semina iliyomalizika jana? Mbona nilikusaka sana na sikukuona?Kaka...jina la u boss Hilo Lina wenyewe....🤣
Kwa ss nimetulia, nimemaliza seminar....
Usiwabishie wanasayansi. Labda nawe uje na utafiti wako!Mmh
Both banaaa
Hawa nao waongo jmn
Msukuma, miss youuuu✌️✌️
My one n only Teacher..
Nimepita tu maeneo ya stendi hapa Misungwi kama nusu saa iliyopita nikamkuta yanki mmoja hivi wa makamo anayo mitatu mirefu mmoja ndiyo anapambana nao miwili iko chini basi mi mbavu sina. Nilikukumbuka pia nikaishia kujisemea I wish mpwa angekuwepo hapa ajionee hii sanaa ya kula miwa mirefuuu bila kuikata kata 😂😂😂Mpwa baada ya mazungumzo ya miwa Jana nikaenda dukani nikakuta sehemu wazee kama 10 hivi wanakula acha nicheke nikakumbuka ule Uzi 😀😀😀😀
Mmoja akaniita nikachukue nilicheka had walinishangaa,Kila nikiingalia ilivo mirefu Sina mbavu.
Shimba ya Buyenze
Sawa,acha nisiwabishie wanasayansi😅kiroho ni both.....Usiwabishie wanasayansi. Labda nawe uje na utafiti wako!
Miss you too Mtumishi wa Bwana Aliye hai. Hongereni kwa semina nzuri iliyoisha jana. Endeleeni kutenda kazi shambani mwake bila kuchoka maana mavuno ni mengi lakini wavunaji ni wachache...na muda uko ukingoni 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Kuingia kazini si mpaka uitwe mtumishi au unataka niibuke tu kwa akili zangu mwenyewe nianze kujiita nabii/mtume/mtumishi/mwalimu?Sawa,acha nisiwabishie wanasayansi😅kiroho ni both.....
Asante sana msukuma....
Ni kwa Neema tu ya Mungu.....Hakika wataenda kazi ni wachache mnoooo
Na we uingine kazini,ushuhudie tu kwakweli....
😂😂😂😂Yani ulikuwa kama Mimi Jana aisee nilishindwa kujizuia Kila nikiwaangalia vimo vyao na Ile miwa Nacheka alieniita ndo aliharibu nilivoikaribia Sasa 😂😂😂😂Nimepita tu maeneo ya stendi hapa Misungwi kama nusu saa iliyopita nikamkuta yanki mmoja hivi wa makamo anayo mitatu mirefu mmoja ndiyo anapambana nao miwili iko chini basi mi mbavu sina!
View attachment 2683961
Asante Mtumishi...My one n only Teacher..
Nakosaje ss msukuma?
Tatizo Huwa husemi😅
August Dom kongamano 4 days tuko mule ndani!
Karibu!
Ila hii sio seminar ya kawaida!