Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wapi huko mm ndo nimemaliza fom foo nikasome[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekumbukaa kituu, kuna mtu alikua ananionaa tyuuh, sasa kumbe alikua anahisi mie ni kilazaa,

Anaambiwa kuhusu Elimu yangu, anakataa ndo kwanza anasema "huyo mtu mwenyewe anaonekanaa alienda diploma kwa div 3 ya 25, Degree sio matako kwamba kila mtu anayo"

Nikajaa ambiwa, sasa siku hiyo tumekaa wote ananiulizaa mie, nikamjibu ndyo niko Degree, anakataa anasemaje "niletee cheti chako cha 4m 4 nikiona una cut points za kwenda advance nakupa 50k cash" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nkamuambia fresh, siku ya 2 nikamuonesha results slip ya 4m 6, alichachawaa balaaa, afu kibabee nkamuambiaa sihitaji hata senti yako, kacheze unakochezaga, tena types na zako sio mie..

Shangaziii umenichekesha, nimekumbukaa hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wanadharau sana aisee😂😂
 
Yaan sijui wakojee, wana mkadiria mtu kwa muonekano wa nje.
umenikumbusha enzi hizoo namfukuzia mtoto wa advance me nipo chuo, kwenye story story akaniuliza nasoma course gan UD? nikamtajia, akasema weeee! hiyo wanaenda wenye one zao! nikabakia nacheka tu, nilivyotoka pale ikabidi nijikague HIVI KUMBE SIJAKAA KI-ONE ONE EEH
 
Screenshot_20230709-230827.png
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekumbukaa kituu, kuna mtu alikua ananionaa tyuuh, sasa kumbe alikua anahisi mie ni kilazaa,

Anaambiwa kuhusu Elimu yangu, anakataa ndo kwanza anasema "huyo mtu mwenyewe anaonekanaa alienda diploma kwa div 3 ya 25, Degree sio matako kwamba kila mtu anayo"

Nikajaa ambiwa, sasa siku hiyo tumekaa wote ananiulizaa mie, nikamjibu ndyo niko Degree, anakataa anasemaje "niletee cheti chako cha 4m 4 nikiona una cut points za kwenda advance nakupa 50k cash" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nkamuambia fresh, siku ya 2 nikamuonesha results slip ya 4m 6, alichachawaa balaaa, afu kibabee nkamuambiaa sihitaji hata senti yako, kacheze unakochezaga, tena types na zako sio mie..

Shangaziii umenichekesha, nimekumbukaa hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weyeee katotooo upo wapi sasa hivi
 
Back
Top Bottom