cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,597
- 188,633
Nazururaa bhanaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio unafanya kazi hapo ?
Kazi hata cheti cna? Ankoliii acha kunichoraa.
Nazururaa bhanaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio unafanya kazi hapo ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mie ndo nakutana na visangaa vya kudharauliwa, hadi najisemeaga kwan sifananii au vipii?umenikumbusha enzi hizoo namfukuzia mtoto wa advance me nipo chuo, kwenye story story akaniuliza nasoma course gan UD? nikamtajia, akasema weeee! hiyo wanaenda wenye one zao! nikabakia nacheka tu, nilivyotoka pale ikabidi nijikague HIVI KUMBE SIJAKAA KI-ONE ONE EEH
😅😅 mbona wengine tulipata kazi bila cheti, na hadi leo vyeti sijawai tumia kwenye ajira.. Mala ya pili wanaiambia upo TCRA nkajua ndio shavuuu nije nione ma mitamboNazururaa bhanaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kazi hata cheti cna? Ankoliii acha kunichoraa.
mod wakuda kinoma... ma mod ya humu ya watu wao, hata waandike mavi mavi huoni nyuzi zao zikiguswaaa.. Jamirex mbali kidogo na mlimani city .. jamaa hadi mda huu sijamuona itakuwa ana hangover ya pussycat 😅😅Mke kasafiri mwanawane tabu tupu aisee 😅
🤣🤣🤣 yule demu wa mzabzab atakuwa ameamka na hangover leo. Nilishangaa mods waliufuta uke uzi nilitaka akamlale pale Jamirex Hotel
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku nimeshuka Dodoma Airport mpaka natoka nje TAXI hata hawanisumbui yaani..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mie ndo nakutana na visangaa vya kudharauliwa, hadi najisemeaga kwan sifananii au vipii?
Sasa TCRA si ni karibu na hapaa maeneo jamani?? Afu nshazoea nikiwaga maeneo ya hapa huwa nasema TCRA,[emoji28][emoji28] mbona wengine tulipata kazi bila cheti, na hadi leo vyeti sijawai tumia kwenye ajira.. Mala ya pili wanaiambia upo TCRA nkajua ndio shavuuu nije nione ma mitambo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa balaaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku nimeshuka Dodoma Airport mpaka natoka nje TAXI hata hawanisumbui yaani..
😅😅😅 upo magufuli si ndioSasa TCRA si ni karibu na hapaa maeneo jamani?? Afu nshazoea nikiwaga maeneo ya hapa huwa nasema TCRA,
Hahahaa🤣 inaonekana mzeiya kibuyu kilijaa sio poamod wakuda kinoma... ma mod ya humu ya watu wao, hata waandike mavi mavi huoni nyuzi zao zikiguswaaa.. Jamirex mbali kidogo na mlimani city .. jamaa hadi mda huu sijamuona itakuwa ana hangover ya pussycat 😅😅
Kuna kubanika kwenye wavu hii wajuzi watakuja sijawah jaribu
😅😅😅😅 hadi sasa hivi yupo kimyaaa.. ujue kapatwaaa na utamu wa pussycat... banaaa mzabzab bado umelewaaa nini.. au kamtoa mtoto out hapo Woolworths... achukue na viwalo baada ya kupewaa vitu adimu kabisaaaHahahaa🤣 inaonekana mzeiya kibuyu kilijaa sio poa
Mods wakuda sana wakaona labda tunazitangazia biashara hotel za karibu na Mlimani City daah! 😅
Ila natumaini mwanetu atakuwa alipata hotel nzuri ya kugegedea mrembo wake
pale magufuli jion magari yanapaki kupick walimbwende..[emoji28][emoji28][emoji28] upo magufuli si ndio
Pia awaweke juani hili viuongo vikoleeKuna kubanika kwenye wavu hii wajuzi watakuja sijawah jaribu
Waoshe watoe utumbo na magamba ya nje kama wanayo kata vipande unavyotaka
Mm nawekaga ndimu chumvi kitunguu Swaumu na tangawiz lakin tangawiz si lazimq mm Huwa napenda kale kaladha lake
sambaza vizuri kwenye samaki wako ukimaliza
Washa mkaa watoe samaki kwenye bakuli weka kwenye sufuria palia kama wali Kwa moto wa wastani
Njia ya pili
Waoshe waweke viungo Kisha wabandike jikoni acha maji yake Yale yakauke ,Usiweke maji wakishakauka unapalia kama wali had wakauke kabisa
magufuli, hapa survey kama unaenda goba, na mlimani kushoto kwa huu mgahawa hapa chini ukikunja kulia 😅😅😅😅 tafrani tupu..pale magufuli jion magari yanapaki kupick walimbwende..
Asante sana Aaliyyah umeeleza vizuri nitatumia hizo njia 2 za mwisho ni rahisi 🙏🙏🙏Kuna kubanika kwenye wavu hii wajuzi watakuja sijawah jaribu
Waoshe watoe utumbo na magamba ya nje kama wanayo kata vipande unavyotaka
Mm nawekaga ndimu chumvi kitunguu Swaumu na tangawiz lakin tangawiz si lazimq mm Huwa napenda kale kaladha lake
sambaza vizuri kwenye samaki wako ukimaliza
Washa mkaa watoe samaki kwenye bakuli weka kwenye sufuria palia kama wali Kwa moto wa wastani
Njia ya pili
Waoshe waweke viungo Kisha wabandike jikoni acha maji yake Yale yakauke ,Usiweke maji wakishakauka unapalia kama wali had wakauke kabisa
Daah! Asante Mwachiluwi sema sipo nyumbani narudi jioni. Wewe jamaa kama Mzaramo aisee hizi mambo umejifunza wapi Mnyaki? 😅Pia awaweke juani hili viuongo vikolee
Madam umemisika sana hapaBoss km boss🤭😅
Samaki hawana uvumilivu Sana km nyama wasije wakaozana hiv sio mzoefu na viungo ni rahis kukolea sababu ni lain muhimu wakat wa kukata vipande km ni Wakubwa awachane kidogo viungo viingie ndani kama hiviPia awaweke juani hili viuongo vikolee
Napenda kupika since niko mdogoDaah! Asante Mwachiluwi sema sipo nyumbani narudi jioni. Wewe jamaa kama Mzaramo aisee hizi mambo umejifunza wapi Mnyaki? 😅