Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Ali omba msaada jana umesahau?Wajumbe tupo active😀
Ali omba msaada jana umesahau?Wajumbe tupo active😀
Wapi huko mm ndo nimemaliza fom foo nikasome😀😀😀
Unakula au unatania tumboKaribu tule langu View attachment 2683350
Nilikiwa sipo online Jamani nimeona kashapika tusubir tuone itavokuwa tutatoa marekebishoAli omba msaada jana umesahau?
Aha naepuka kitambi mimiUnakula au unatania tumbo
Ahaha sawa mkuuNilikiwa sipo online Jamani nimeona kashapika tusubir tuone itavokuwa tutatoa marekebisho
Hahha nyie mnajinyima Raha mm nakula tu potelea mbali mwili mzuri wa nn chakula Cha mchwa tu 😀😀Aha naepuka kitambi mimi
toa comment kuhusu pilau😂Wapi huko mm ndo nimemaliza fom foo nikasome😀😀😀
Chief tunasubiri msosi
Aisee nirushie kwanza uyo kuku[emoji3][emoji39]
😀😀😀Unanikataza nisisome autoa comment kuhusu pilau😂
Hongera sana aisee mpo wengi eeh [emoji3][emoji3]
Karibu tule langu View attachment 2683350
Ahahhh kumbe nitaongeza kipimoHahha nyie mnajinyima Raha mm nakula tu potelea mbali mwili mzuri wa nn chakula Cha mchwa tu 😀😀
Ila leo halijawa zur nimepika kwa haraka nilitaka niweke nyerere sema nimekosaSafi sana umetoa kitu ambacho kimenyooka haswa
Ndo kizuri Kwa sisi wa from foo kujiunga 😂😂ni chuo hicho kipo mbeya😂
Nyerer huyu huyu au ?Ila leo halijawa zur nimepika kwa haraka nilitaka niweke nyerere sema nimekosa
Ongeza usije ukaamka usiku kutafuta maandazi😂😂Ahahhh kumbe nitaongeza kipimo
ulisema we ni lishangazi😂Ndo kizuri Kwa sisi wa from foo kujiunga 😂😂