Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,200
PoleTatzo nashindwa kuendana na watu wengine.
Huwa naona mnavyochat hapa. Ni kama mnafahamiana vile, mmezoeana kabisa.
Sometime mnataniana.
Hiyo kitu mimi siwezi( japokuwa natamani kiasi fulani).
Mimi nikianzisha stori reply tano naishiwa cha kusema.
Na mtaani niko hivihvi.