Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Kumbe ni age mate 😂😂Kumbe yupo 50 something 😅😅😅
We mama jr bando ni under 30 huyo.
Kumbe ni age mate 😂😂Kumbe yupo 50 something 😅😅😅
We mama jr bando ni under 30 huyo.
Wewe tena nakusahauje na ndie utanipokea stand. Usijali kabisa, yako ni special 🤩Anavyopenda zawadi sasa lol karibu sanaa!!
Namie zawadiii usintanieeee weeh!! 😁☺️☺️!
Nitakuwa mlimani baada ya 2 hrs. Kama hauko busy nitafute.Our secret place ile 😂
Yess mama G nipooo. [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]Asante kipenzi
Mama G [emoji7][emoji7][emoji7]
🤣🤣!Kama upo 20's
Smoking hot Wazungu wanasema .
Sijaonaaa, nimepitwaaa bhana, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kweli kabesaaa ulijuajeeee ☺️☺️! Naelekea 50 Saivi lol uzee huu hapaa☺️!!Kumbe yupo 50 something 😅😅😅
We mama jr bando ni under 30 huyo.
Naanzaje kuwa busyNitakuwa mlimani baada ya 2 hrs. Kama hauko busy nitafute.
Lol Tin bado kigori kabisa wewe!! Mie nishazeeka sana!Kumbe ni age mate 😂😂
Kabinti kabichi kabisa wewe, mfupa laini 🤗Kweli kabesaaa ulijuajeeee ☺️☺️! Naelekea 50 Saivi lol uzee huu hapaa☺️!!
Ulienda kuswampia wapiii udugu akee kwaniiSijaonaaa, nimepitwaaa bhana, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Usije niachia vumbi shem.Naanzaje kuwa busy
Chap nitakuwa hapo.
Thubutruuuuuuuu!! Nipo Bibi la mamiaka☺️☺️🤠!!Kabinti kabichi kabisa wewe, mfupa laini 🤗
Ngoja nije Nyakiboo nihakikishe mwenyewe.Thubutruuuuuuuu!! Nipo Bibi la mamiaka☺️☺️🤠!!
Ah kumbe🤣🤣!
Asantee sikuhizi Nina zoezi la kumeinteinn sema kitrambiii mng'ang'anio kimegoma kutoka kabesaaa!!
Mazoezi na maji ya moto yenye limao na nimepunguza kufakamia!☺️
Unamtafutia mwenzako shida, shep lote hilo aongeze tena😳😳 sisi wenye min Adult hututakii mema. 😂 AntonniaAh kumbe
Umependeza sana , hongera kwa kumantain .
Jitahidi , uruke hata kamba au squats pia ujiongeezee na shape zaidi .
Kigorii wapi aiseeLol Tin bado kigori kabisa wewe!! Mie nishazeeka sana!
Ah sikuachiiUsije niachia vumbi shem.
Nataka nizimie leo🤗
Weee nishatotoa vichwa viwili mimi mileage kama yotre🤠🤠☺️!!Ngoja nije Nyakiboo nihakikishe mwenyewe.
Mtoto bado sana km hazijasoma saana 😂
Ubishi wenu nitaumaliza mimi kama CAGKigorii wapi aisee
Ndo tunaelekea huko .