Nikikaribia huko nitakwambia, be readyAh sikuachii
Nipe 1 hour ,nitakuwa nimefika hapo
Nikikaribia huko nitakwambia, be readyAh sikuachii
Nipe 1 hour ,nitakuwa nimefika hapo
Mikwara tu hiyo, nimekaa kazuramimba nishindwe huko. Wakola sanaWeee nishatotoa vichwa viwili mimi mileage kama yotre🤠🤠☺️!!
Nyakibimbirii ukiweza kukaa hata Siku 2 wee utakua mwambaaaa☺️!
Ni bushiii balaaaa Huku sie ma don ndo tunapaweza!
Antonnia 😂😂😂😂Ah izidi ndio.
Shepu ifike huko , akitembea tu , watu mimacho hiyo kwake .
😂😂😂Ubishi wenu nitaumaliza mimi kama CAG
Nipeni location tu🤗
Okay ngoja nitoke huku .Nikikaribia huko nitakwambia, be ready
Sasa hivi mapema bado. Toka baada ya saa 1 toka sasa ili usinisubiri sana. Nitajitahidi kufika kwa wataki hapo, sawa shem.Okay ngoja nitoke huku .
Ngoja nijitahidi japo kwenye mazoezi nipo mzito balaa!!Ah kumbe
Umependeza sana , hongera kwa kumantain .
Jitahidi , uruke hata kamba au squats pia ujiongeezee na shape zaidi .
Mazoezi ni balaaNgoja nijitahidi japo kwenye mazoezi nipo mzito balaa!!
Mtrotro gushepuuu.. chuchu saa 4 kasoro 👌👌!!♥️
Nyakiboo kuna gym 😅😅😅😅😅 labda akabebe migomba huko AntonniaMazoezi ni balaa
Nenda gym huko atleast ukiona wengine unafanya na wewe .
Sawa shemSasa hivi mapema bado. Toka baada ya saa 1 toka sasa ili usinisubiri sana. Nitajitahidi kufika kwa wataki hapo, sawa shem.
Nina siri ya ajabu ya kumaliza kitambi kwa siku 3 tu. Fanya kunipa mwaliko nikushangaze😂😂Mie nataka kuondoa kitambii kinakubali sasa😁😁😁!!Yani nilifanikiwa kuondoa hili tambi ntakua na body tamu sana!🤠
Gym itoke Wapi hukuu labda nibebe magogo ya shuleni yale kupasua kuni za kupikia wanafunzi 😁😁🤠!!Nyakiboo kuna gym 😅😅😅😅😅 labda akabebe migomba huko Antonnia
😂😂😂😂 Ujikute tuGym itoke Wapi hukuu labda nibebe magogo ya shuleni yale kupasua kuni za kupikia wanafunzi 😁😁🤠!!
yanii Mzabuni akileta kuni kwenye fuso mie ndio nazitoa kuzishusha hapo ntakua baunsa sasa😁😁!!
Mabosi wenyewe hawakai Bushii thubutuuuu!!Huwezi jua labda kuna bosi nshomile huko kaiweka 😂😂
Kwako hata kama naumwa nitakuja hivyo hivyo shem. Leo ndio nimejua nilikuwa nachezea bahati ya kupendwa 🤩🤩Sawa shem
Ndo nachokupendea hichi unajua kujali .