Ni mikito tu kwa kwenda mbele, ukijibana sana utakufa nayo iliwe na funza bure😉Asantreeeeeeeeeehh!!
Maisha ndio hayahayaaa
Ni mikito tu kwa kwenda mbele, ukijibana sana utakufa nayo iliwe na funza bure😉Asantreeeeeeeeeehh!!
Maisha ndio hayahayaaa
Nisubir hapo nje nitakukuta ewe shem wangu .Nilikuwa nakaza sana ila kuanzisha leo naomba niwe mfungwa wako. Niambie nijipeleke gereza gani utanikuta huko shem😂
Kabisaaa mkuu!!Ni mikito tu kwa kwenda mbele, ukijibana sana utakufa nayo iliwe na funza bure😉
Sawa sawa shem.Nisubir hapo nje nitakukuta ewe shem wangu .
Nitakuficha kweli , wasikuibe 😂😂😂
Jamani jamani🙆🙆
Ah beautiful sana
Mwehh chuma wapii Kamera tu rafiki!!Jamani jamani🙆🙆
Mna ajenda gani na ka moyo kangu😅
Mama jr kumbe ni chuma namna hii.
Nauli ya Nyakiboo sh ngapi kwani😅
Hata akijua ,hakuna la ajabu 😂😂Sawa sawa shem.
Usijali nitakula kistaraabu jamaa asijue😂
Achana na bifu kula kabejiAh beautiful sana
Umenoga sana mamy , yaani ndo maana watu wanakereketwa tu id yako .
Mzuri na mzuri tena nimeona baby face hapo
Namletea jr zawadi jamaniMwehh chuma wapii Kamera tu rafiki!!
Wee baki hukohuko mjini Nyakiboo hautapaweza!! ☺️
Lol filter hio dearr nina sura ya kibibii! Nahuu uzee sasa!!Ah beautiful sana
Umenoga sana mamy , yaani ndo maana watu wanakereketwa tu id yako .
Mzuri na mzuri tena nimeona baby face hapo
Nipe niile 😂😂Achana na bifu kula kabeji
Niambie nikukute wapi nikupe.Nipe niile 😂😂
Kama upo 20'sLol filter hio dearr nina sura ya kibibii! Nahuu uzee sasa!!
Anavyopenda zawadi sasa lol karibu sanaa!!Namletea jr zawadi jamani
Usifanje moyo mgumu kama farao😂
Kumbe yupo 50 something 😅😅😅Kama upo 20's
Smoking hot Wazungu wanasema .
Our secret place ile 😂Niambie nikukute wapi nikupe.