cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,473
- 188,319
Yaan niko winja winja kila sehemu, [emoji23][emoji23][emoji23]Ulienda kuswampia wapiii udugu akee kwanii
Yaan niko winja winja kila sehemu, [emoji23][emoji23][emoji23]Ulienda kuswampia wapiii udugu akee kwanii
Basi huko ni ndani ndani aiseeMabasi wenyewe hawakai Bushii thubutuuuu!!
Gym mpaka mjini huko Kilomita kibaoo ni Mbali kweli!!
Siku tatu wee sema kweli!!!!😁😁??Nina siri ya ajabu ya kumaliza kitambi kwa siku 3 tu. Fanya kunipa mwaliko nikushangaze😂😂
Punguza harakati kamwaliYaan niko winja winja kila sehemu, [emoji23][emoji23][emoji23]
Rangii ya mtumee,
Ewaaaah hebu tuone🤩🤩Siku tatu wee sema kweli!!!!😁😁??
Hakii nataka kukiondoa ngoja nikuoneshe kinavoniharibia nguo za kubana ☺️☺️!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] harakatii mingii mnooo.Punguza harakati kamwali
Bora umejua aiseeeKwako hata kama naumwa nitakuja hivyo hivyo shem. Leo ndio nimejua nilikuwa nachezea bahati ya kupendwa 🤩🤩
Ndio maana unapitwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] harakatii mingii mnooo.
Yeahhh nichopendea huku hali ya hewa dahhh!! Kama ulayaaaa!!!Basi huko ni ndani ndani aisee
Lakini ndo kuzuri huko
Hali ya hewa safi, vyakula ndo usiseme .
Asante shem.Bora umejua aiseee
Maaan shem wako kakuelewa vibaya sana ..
Lol ile picha naiona sasa!! Siionii!! itakua niliifuta!Ewaaaah hebu tuone🤩🤩
Hiyo siri kiboko, utafurahia sana🤣
😂😂😂 Acha uoga wewe, unadaiwa kwaniLol ile picha naiona sasa!! Siionii!! itakua niliifuta!
Hiyo Dp ndo mchumbaa ako?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana unapitwa
Sidaiwi Wala sitoki na mume wa mtuuu😁😁☺️☺️🤠!😂😂😂 Acha uoga wewe, unadaiwa kwani
Acha kumpa Tinsley wivu kamwali. 😂😂😂Hiyo Dp ndo mchumbaa ako?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Thibitisha kwa vitendoo basi😂Sidaiwi Wala sitoki na mume wa mtuuu😁😁☺️☺️🤠!
Mie huyu niogopee! Thubutruuuuuuuu!!
We nae huna dogo😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nivungee nini??
Sio Buzebazeba😂😂😂🤠???Mikwara tu hiyo, nimekaa kazuramimba nishindwe huko. Wakola sana