Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Why notUtanipaaaaa😋😋
Najilipia nauli kwenda na kurudi 😂😂
Why notUtanipaaaaa😋😋
Nitakukumbushaa saa 12.Badae jioniii udugu
Duh ila kwako wamezidiMi mwenyewe maneno hata siwezi mbona ni ile unanyamazaaaa zako mtu anakuchukulia oyaoya!
The pain is real!!Aisee una moyo , siwezi kabisa kwanza hata hiyo nguvu sina .
Mie ukinichokoza labda niwe nimevurugwa ndo nitaongea ,
Siku nyingine nabaki tu kimya .
Watu waache chuki anyway , mtu humjui , unafaidika nini .
Poapoaaa!!Nitakukumbushaa saa 12.
Kabisa , tuyaache yapiteThe pain is real!!
Tuachane naoo!!🚮🚮
Tuendelee kuselfika zeityyuuu lol!! Hauna ka selfii hapo Jioni yangu iende vizuri 🤔🤔???
Umenena kweli Mkuu.umuhimu wa kusamehe
-Hukuweka huru
Kutokusamehe kunakufanya ujisikie vibaya na kuwa kama mfungwa. Jambo baya ni pale utakapomwona yule aliyekukosea anafuraha na anaendelea na maisha yake bila tatizo.
-Hukuwezesha kuendelea mbele na maisha yako
Kuna mambo mengi mazuri na muhimu zaidi maishani kuliko chuki na hasira.
-Kulinda afya yako
Uchungu na maumivu uliyoyapata baada ya kukosewa ni dhahiri kuwa yanaweza kusababisha matatizo kama vile msongo wa mawazo.
-Huondoa hasira na chuki
Ni dhahiri chuki na hasira huingia nafsini na moyoni mwako mara mtu anapokukosea. Ukiwa na chuki na hasira moyoni au nafsini mwako ni wazi kuwa utapunguza tija katika yale unayoyafanya.
-Utulivu wa akili
Nakushauri ipe akili yako nafasi ya kutulia kwa njia ya kusamehe waliokukosea
-Ni aina bora ya kisasi
Je unafikiri kulipa kisasi ni kufanya baya kama ulilofanyiwa? Kama jibu ni ndiyo, unakosea kwa kiasi kikubwa. Ni dhahiri kisasi kinachouma sana ni pale mtu anapokufanyia jambo baya lakini wewe unamfanyia jema.
-Kuonyesha upendo
Kuna wakati mtu aliyekukosea anaumia kutokana na kosa alilolifanya lakini anashindwa kuja kuomba msamaha. Lakini kumsamehe kunadhirisha upendo ulio nao kwake hata kama hajaja kukuomba msamaha.
-Kiashiria cha ukomavu
Hakuna mtu mwenye uwezo wa kusamehe kama hana ukomavu wa kiakili na hekima na busara za kutosha. Watu wachanga hupenda kubeba na kutunza chuki na hasira; wao ni heri kubaki na maumivu hata maisha yao yote kuliko kuyaachilia ili wawe huru.
Neno la Mwisho:
Ni dhahiri kusamehe ni jambo gumu; lakini ni muhimu hasa kwako wewe uliyekosewa. Kwa kusamehe kutakufungulia ukurasa mwingine mpya wa maisha na kuruhusu majeraha kupona. Kwa njia hii utafanya maisha yako kuwa yenye tija, furaha na amani zaidi. Tinsley, Antonnia, Saint Anne cocastic
Nimevukaa hizii level wa kunyumbaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umuhimu wa kusamehe

Shemeji kula 😋Why not
Najilipia nauli kwenda na kurudi 😂😂
Maturity 🤩Umenena kweli Mkuu.
Kusameheana ni muhimu.
Mimi sina baya na mtu
Ila wote walionikosea nilishawasamehe,,wengine hata kabla ya kuomba msamaha
Ila natupiaga kwenye ignore list ili tusije tukasumbuana tena shetani apate nafasi.
Sawa dear nasubiria!!Kabisa , tuyaache yapite
Ngoja nikuangalize ya zamani kidogo .
[emoji3581]Poapoaaa!!
Wewe mshali sana🤣🤣 unaweza mchamba hata mchungaji madhabahuni.Nimevukaa hizii level wa kunyumbaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan kwa kifupiii mie ni Hero, mapambano yote niliyowahi pigana nimeshindaaaaa.
JF iko kiganjani kwanguu, hainistui wala haifurukutiii..
Aminaaa kubwaaaa!!!!umuhimu wa kusamehe
-Hukuweka huru
Kutokusamehe kunakufanya ujisikie vibaya na kuwa kama mfungwa. Jambo baya ni pale utakapomwona yule aliyekukosea anafuraha na anaendelea na maisha yake bila tatizo.
-Hukuwezesha kuendelea mbele na maisha yako
Kuna mambo mengi mazuri na muhimu zaidi maishani kuliko chuki na hasira.
-Kulinda afya yako
Uchungu na maumivu uliyoyapata baada ya kukosewa ni dhahiri kuwa yanaweza kusababisha matatizo kama vile msongo wa mawazo.
-Huondoa hasira na chuki
Ni dhahiri chuki na hasira huingia nafsini na moyoni mwako mara mtu anapokukosea. Ukiwa na chuki na hasira moyoni au nafsini mwako ni wazi kuwa utapunguza tija katika yale unayoyafanya.
-Utulivu wa akili
Nakushauri ipe akili yako nafasi ya kutulia kwa njia ya kusamehe waliokukosea
-Ni aina bora ya kisasi
Je unafikiri kulipa kisasi ni kufanya baya kama ulilofanyiwa? Kama jibu ni ndiyo, unakosea kwa kiasi kikubwa. Ni dhahiri kisasi kinachouma sana ni pale mtu anapokufanyia jambo baya lakini wewe unamfanyia jema.
-Kuonyesha upendo
Kuna wakati mtu aliyekukosea anaumia kutokana na kosa alilolifanya lakini anashindwa kuja kuomba msamaha. Lakini kumsamehe kunadhirisha upendo ulio nao kwake hata kama hajaja kukuomba msamaha.
-Kiashiria cha ukomavu
Hakuna mtu mwenye uwezo wa kusamehe kama hana ukomavu wa kiakili na hekima na busara za kutosha. Watu wachanga hupenda kubeba na kutunza chuki na hasira; wao ni heri kubaki na maumivu hata maisha yao yote kuliko kuyaachilia ili wawe huru.
Neno la Mwisho:
Ni dhahiri kusamehe ni jambo gumu; lakini ni muhimu hasa kwako wewe uliyekosewa. Kwa kusamehe kutakufungulia ukurasa mwingine mpya wa maisha na kuruhusu majeraha kupona. Kwa njia hii utafanya maisha yako kuwa yenye tija, furaha na amani zaidi. Tinsley, Antonnia, Saint Anne cocastic
Nina masihara na wewe shem 😂😂Shemeji kula 😋
Unanitamanisha ujue
"Jf ipo kiganjani mwangu"Nimevukaa hizii level wa kunyumbaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan kwa kifupiii mie ni Hero, mapambano yote niliyowahi pigana nimeshindaaaaa.
JF iko kiganjani kwanguu, hainistui wala haifurukutiii..
Shem kama shem.Nina masihara na wewe shem 😂😂
Sema chap loc
Mali safi kabisa😋 hapo hata ndom sivai shem😅
Hahaha ndioShem kama shem.
Kumbe ndio maana ulikuwa unambania yule bestie 🤣🤣. Nishajuaaaaaa
Ulipendezaa dear afu shavu dodo hadi rahaaa!! Na vidole vimejaaa bila shaka hata kule kumejaaa kumenonaa kama vidolee hongeraa sanaa mamaa lipsssss 💋!!