Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Safi sanaSina main chick shem
Bila shaka akiingia atakuwa yeye ndie main
Ngoja nikufanyie mpango
Ukiwa free nishtue niwakutanishe
Safi sanaSina main chick shem
Bila shaka akiingia atakuwa yeye ndie main
Ndio huku Nyakiboo sasa Hizo nyumba za kupanga zenyewe sasa lol!! vijumba vya udongooo hata havieleweki nyie Tanzania ni kubwaa hii hebu tembeeni matakoni mwa Tz mjue maisha muexperience enough ndio muwe mnaropoka wadogo zanguu!Kuna watu hata Kota wanazisikia redioni
Wanakaa vijumba havieleweki kodi mgogoro,wengine huishia kuingia kwenye njia zisizo halali ili waipate.
Kuna watu wanadangia kodi,,,
Kuna grp moja nipo,dada anatafuta namna ya kwenda kutapeli mtu ili apate kodi.
Ukipata Neema ya kuishi Kota mshukuru Mungu.
Mimi natamani sehemu ninakofanya kazi kungekuwa na kota maana si kwa kuchoka huku ninakochoka kwenda na kurudi.
Hee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie janaa nilipita samuweaa ndo nkakutaa watu wamecharuaanaa hapoo, hadi watu kukaa kota za serikali ikaingizwaa, JF bhanaaa full Manjegekaaa.
Nenda uzi wa unayemchukia JF. ukajionee dramaa za JF.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
December nakuja. Nifanyie wepesi shemSafi sana
Ngoja nikufanyie mpango
Ukiwa free nishtue niwakutanishe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan ilikua tafranii tupuuu, mwenzangu mie ndo najionaa nshakua kikongweee, heka heka za JF nilisha dump hukoo.Hee
Kuna nini tena?
Kweli napitwa na mambo [emoji23]
Sijui ndo uzeee
Nashindwa kwenda na kasi ya Jf.
Ntapitia nikipata muda.
Sema mambo ya kusemana ni upumbavu na uzwazwa wa hali ya juu
Nikiona mtu anambeza mtu siku hizi namuona kama chizi.
Tuna mambo mengi mazuri ya kufanya mbali na vijembe.
Mna vitrukoo sio kidogooo walahiii!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie janaa nilipita samuweaa ndo nkakutaa watu wamecharuaanaa hapoo, hadi watu kukaa kota za serikali ikaingizwaa, JF bhanaaa full Manjegekaaa.
Nenda uzi wa unayemchukia JF. ukajionee dramaa za JF.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu sanaDecember nakuja. Nifanyie wepesi shem
Kuongelea nyumba anayoishi mtu ni upumbavu na kiburi cha uzima.Ndio huku Nyakiboo sasa Hizo nyumba za kupanga zenyewe sasa lol!! vijumba vya udongooo hata havieleweki nyie Tanzania ni kubwaa hii hebu tembeeni matakoni mwa Tz mjue maisha muexperience enough ndio muwe mnaropoka wadogo zanguu!
Nimepita selfika nyuma leo nikaona ulivokua unalalamika nikakumbuka yangu lol!!Duh pole pia aisee bado wanakusema tu .
Yaani hao ni kuignore tu
Ukiongea ni kazi bure .
Vipi wazima huko ??
Unanipanga tu, sioni maendeleoKaribu sana
Na ndo atakuwa host wako ukija
Bado Watoto wa akili/ experience Mungu awarehemu bure tu!Kuongelea nyumba anayoishi mtu ni upumbavu na kiburi cha uzima.
Tunatofautiana kiuwezo na kimazingira.
Wengine kwetu labda nyumba za tofali,,,uwezo wetu umeishia hapo.
Huwezi kuanza kumbeza mtu eti kisa ana nyumba ya tofali,
Ndipo Mungu alipomjalia kwa wakati huo uwezo wake umeishia hapo.
Yako ile inaumiza sanaNimepita selfika nyuma leo nikaona ulivokua unalalamika nikakumbuka yangu lol!!
Humu tunasemana sana yanii kweli kupotezea tu!!
Huku kwema tushaanza mchakamchaka tena!
Number nitakupa mkishaonana shem , nikiwahi kumpa ataanza kuuliza maswali mengi .Unanipanga tu, sioni maendeleo
Unaonaje unipe namba yake basi.
Nijaribu kuongea nae nimsikie. 🤩
Wee uduguu emu 7bishaaa, kukublec si baadae bhana, mida yetu ileee.Mna vitrukoo sio kidogooo walahiii!!
Hebu niachane nahuu upuuzi kwanzaa!!
Coca umedinda kuibless Jioni yangu??
Yaani rafiki unambania hivyo. Je ningekutokea wewe😅Number nitakupa mkishaonana shem , nikiwahi kumpa ataanza kuuliza maswali mengi .
Unasemea ilee sema zileee!! Kuna hio moja babkubwa ile ikasome nakwambia hahahaaa... ebu nicheke kwanza😁!!Yako ile inaumiza sana
So sad duh ,
Na tukapigwa na ban yaani 😂😂
Japo wengine fupi .
Ooh vyema sana, wameelewa viwalo huko ??
Poapoa kipenzi nasubiria mida yetuWee uduguu emu 7bishaaa, kukublec si baadae bhana, mida yetu ileee.
Anh basi nakupa mtamalizana wenyewe .Yaani rafiki unambania hivyo. Je ningekutokea wewe😅
Nikaja speed nifurahie mema ya nchi kumbe ni mfano😂Unasemea ilee sema zileee!! Kuna hio moja babkubwa ile ikasome nakwambia hahahaaa... ebu nicheke kwanza😁!!
Kuna hio mfano mtu ( Ke) kamzimikia Rabbitus ilee kufa kuozaa na yupo tayari Rabbit amle buuuree kabisa yani kwa udi na uvumba sasa gia aliyoenda nayo kwa Rabbit ni kukupondea wewe Tinsley kwakua anaona upo karibu na Rabbit ile mnavoflirt humu kutaniana mwenzenuu anatamani kufaaaaa 🤠🤠😁 Ni anakukandiaa na kukuzushiaa balaaa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌!!
Nasemaaaajeeeeee jf sihamiiiiii 🕺🕺🕺!!
Nisogezeee huu ubuyuu, mbna sina taarifa yake. Fanyaa unifikie km ulivyooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unasemea ilee sema zileee!! Kuna hio moja babkubwa ile ikasome nakwambia hahahaaa... ebu nicheke kwanza[emoji16]!!
Kuna hio mfano tu lakini mtu ( Ke) kamzimikia Rabbitus ilee kufa kuozaa na yupo tayari Rabbit amle buuuree kabisa yani kwa udi na uvumba sasa gia aliyoenda nayo kwa Rabbit ni kukupondea wewe Tinsley kwakua anaona upo karibu na Rabbit ile mnavoflirt humu kutaniana mwenzenuu anatamani kufaaaaa [emoji1783][emoji1783][emoji16] Ni anakukandiaa na kukuzushiaa balaaa [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!!
Nasemaaaajeeeeee jf sihamiiiiii [emoji1739][emoji1739][emoji1739]!!