cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,470
- 188,313
Na ku 7bishaa mda ganiii?? Usijizime dataa wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Poapoa kipenzi nasubiria mida yetu
Na ku 7bishaa mda ganiii?? Usijizime dataa wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Poapoa kipenzi nasubiria mida yetu
Acha wivu shem😅Anh basi nakupa mtamalizana wenyewe .
Mie huyo
😂😂😂
Iko wapi hiyo ingineUnasemea ilee sema zileee!! Kuna hio moja babkubwa ile ikasome nakwambia hahahaaa... ebu nicheke kwanza😁!!
Kuna hio mfano tu lakini mtu ( Ke) kamzimikia Rabbitus ilee kufa kuozaa na yupo tayari Rabbit amle buuuree kabisa yani kwa udi na uvumba sasa gia aliyoenda nayo kwa Rabbit ni kukupondea wewe Tinsley kwakua anaona upo karibu na Rabbit ile mnavoflirt humu kutaniana mwenzenuu anatamani kufaaaaa 🤠🤠😁 Ni anakukandiaa na kukuzushiaa balaaa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌!!
Nasemaaaajeeeeee jf sihamiiiiii 🕺🕺🕺!!
WeuweeehAcha wivu shem😅
Wewe ni hottest of all time. Nakupenda sana shem.
Huo ni mfano tu mkuu😁😁😁🤠🤠 sasa hayo maneno ya kumkandia Tin sasa hahahaaa acha nicheke tuNikaja speed nifurahie mema ya nchi kumbe ni mfano😂
Jamani punguzeni mifano fanyeni kweli, tupo na upwiru wetu hapa😂
Tena Shida kubwa sana!!Iko wapi hiyo ingine
Huo ni mfano ni balaa 😂😂😂
Duh mbona balaa basi
Ila watu wana shida sana humu 😂😂
Watu wana wivu hatareeeeUnasemea ilee sema zileee!! Kuna hio moja babkubwa ile ikasome nakwambia hahahaaa... ebu nicheke kwanza😁!!
Kuna hio mfano tu lakini mtu ( Ke) kamzimikia Rabbitus ilee kufa kuozaa na yupo tayari Rabbit amle buuuree kabisa yani kwa udi na uvumba sasa gia aliyoenda nayo kwa Rabbit ni kukupondea wewe Tinsley kwakua anaona upo karibu na Rabbit ile mnavoflirt humu kutaniana mwenzenuu anatamani kufaaaaa 🤠🤠😁 Ni anakukandiaa na kukuzushiaa balaaa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌!!
Nasemaaaajeeeeee jf sihamiiiiii 🕺🕺🕺!!
Badae jioniii uduguNa ku 7bishaa mda ganiii?? Usijizime dataa wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah mnahisi ni marafiki kumbe hujui analokuwazia mwingine 😂😂Tena Shida kubwa sana!!
Jf sio ya kuichukulia siriaz Kabisa..
Sie hebu tuendelee kuselfika zeityyuuu !!
Usilete maneno, nipe link tu mama NyakibooHuo ni mfano tu mkuu😁😁😁🤠🤠 sasa hayo maneno ya kumkandia Tin sasa hahahaaa acha nicheke tu
Hahahaaa.... tena wewe ulivo na moyo mdogo sijui ungefanyeje hata sema hio ni ya miezi michache nyuma!Watu wana wivu hatareeee
Cute Wife ukuje .
Humu watu wanapenda kusema
Kweli wenzao ni vile ndo tushapaenda huu mtandao .
Tuna la kufanya basi
Tupo kuondoa stress hapa .
Mie siwezi kabisa manenoHahahaaa.... tena wewe ulivo na moyo mdogo sijui ungefanyeje hata sema hio ni ya miezi michache nyuma!
Mama Nyakiboo🤠🤠😁😁😁!!Usilete maneno, nipe link tu mama Nyakiboo
😂😂Nikaja speed nifurahie mema ya nchi kumbe ni mfano😂
Jamani punguzeni mifano fanyeni kweli, tupo na upwiru wetu hapa😂
Mie humu nishazoeaa mbonaMie siwezi kabisa maneno
Waniache kabisa 😂😂😂
Aisee pole sana dear ..
Mtandao mtamu huu , lakini majungu sasa 😂😂
Utanipaaaaa😋😋😂😂
Toa location , chap
Aisee una moyo , siwezi kabisa kwanza hata hiyo nguvu sina .Mie humu nishazoeaa mbona
Nishasemwa sanaaa chambwa sanaa anzishiwa thread sanaaa humuu tangu enzi hizoooo!
Hivi hata havinishtui kabesaaa uvolalamika ndio nikakumbuka hahahaaa!!
Usichukulie jf siriazz kabisaa mbona utaenjoy!!
Mi mwenyewe maneno hata siwezi mbona ni ile unanyamazaaaa zako mtu anakuchukulia oyaoya!Mie siwezi kabisa maneno
Waniache kabisa 😂😂😂
Aisee pole sana dear ..
Mtandao mtamu huu , lakini majungu sasa 😂😂
Well said shemumuhimu wa kusamehe
-Hukuweka huru
Kutokusamehe kunakufanya ujisikie vibaya na kuwa kama mfungwa. Jambo baya ni pale utakapomwona yule aliyekukosea anafuraha na anaendelea na maisha yake bila tatizo.
-Hukuwezesha kuendelea mbele na maisha yako
Kuna mambo mengi mazuri na muhimu zaidi maishani kuliko chuki na hasira.
-Kulinda afya yako
Uchungu na maumivu uliyoyapata baada ya kukosewa ni dhahiri kuwa yanaweza kusababisha matatizo kama vile msongo wa mawazo.
-Huondoa hasira na chuki
Ni dhahiri chuki na hasira huingia nafsini na moyoni mwako mara mtu anapokukosea. Ukiwa na chuki na hasira moyoni au nafsini mwako ni wazi kuwa utapunguza tija katika yale unayoyafanya.
-Utulivu wa akili
Nakushauri ipe akili yako nafasi ya kutulia kwa njia ya kusamehe waliokukosea
-Ni aina bora ya kisasi
Je unafikiri kulipa kisasi ni kufanya baya kama ulilofanyiwa? Kama jibu ni ndiyo, unakosea kwa kiasi kikubwa. Ni dhahiri kisasi kinachouma sana ni pale mtu anapokufanyia jambo baya lakini wewe unamfanyia jema.
-Kuonyesha upendo
Kuna wakati mtu aliyekukosea anaumia kutokana na kosa alilolifanya lakini anashindwa kuja kuomba msamaha. Lakini kumsamehe kunadhirisha upendo ulio nao kwake hata kama hajaja kukuomba msamaha.
-Kiashiria cha ukomavu
Hakuna mtu mwenye uwezo wa kusamehe kama hana ukomavu wa kiakili na hekima na busara za kutosha. Watu wachanga hupenda kubeba na kutunza chuki na hasira; wao ni heri kubaki na maumivu hata maisha yao yote kuliko kuyaachilia ili wawe huru.
Neno la Mwisho:
Ni dhahiri kusamehe ni jambo gumu; lakini ni muhimu hasa kwako wewe uliyekosewa. Kwa kusamehe kutakufungulia ukurasa mwingine mpya wa maisha na kuruhusu majeraha kupona. Kwa njia hii utafanya maisha yako kuwa yenye tija, furaha na amani zaidi. Tinsley, Antonnia, Saint Anne cocastic