Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,893
- 67,357
Sasa nimeipenda sana nataka ninunuehaifai hii kwenye nyumba ya kupanga😂
Sasa nimeipenda sana nataka ninunuehaifai hii kwenye nyumba ya kupanga😂
OK bibie ujanikaribishaNaelewa boo
hiyo taa ni ya kukaa sebuleni kwa ninavoonaSasa nimeipenda sana nataka ninunue
Najua nataka moja iwe chumban na moja seblenhiyo taa ni ya kukaa sebuleni kwa ninavoona
sasa kama geto halina sebule haipendezei
we mtoto ni sheedah😋View attachment 2682891Nikila sana nitatoka kitambi😎😅
kama una dining room pia hua zinapendezeaNajua nataka moja iwe chumban na moja seblen
😚we mtoto ni sheedah😋
Mm sijaona lakin unaogopa kitambi dear😀😚
Ahahah utanichangia? 160000 unanichangia bei gani?kama una dining room pia hua zinapendezea
unayo dining room??Ahahah utanichangia? 160000 unanichangia bei gani?
SanaaMm sijaona lakin unaogopa kitambi dear😀
Kula mwaya utakondaSanaa
Hebu muache mwenzio🤣unayo dining room??
Ipo tena kubwa sanaunayo dining room??
Ananikatisha tamaa mKula mwaya utakonda
sio kwa ubaya😂Hebu muache mwenzio🤣
Wew kanunue tu huyu atakufanya ughairi Bure😀Ananikatisha tamaa m
kumbe we wa kishuaIpo tena kubwa sana
Wakati nishanunua kibubu cha kuwekezaWew kanunue tu huyu atakufanya ughairi Bure😀