mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,367
- 75,697
duh, pole....Kuna uhusiano wowote wa kichwa kuuma sana panapokuwa na baridi kali?
duh, pole....Kuna uhusiano wowote wa kichwa kuuma sana panapokuwa na baridi kali?
Thank you so muchduh, pole....
Hiko ni nini kapaka usoni? Naonaga wadada kariakoo wamepaka hayo,wengi toka comoro
Iyo kwaajili ya kuondoa chunusi lakini pia kufanya uso wa mafuta kuwa mkavu mkuu hii sio kwa wadada tu ata wakaka pia mkuuHiko ni nini kapaka usoni? Naonaga wadada kariakoo wamepaka hayo,wengi toka comoro
Wakaka? Acha masihara mkuuIyo kwaajili ya kuondoa chunusi lakini pia kufanya uso wa mafuta kuwa mkavu mkuu hii sio kwa wadada tu ata wakaka pia mkuu
Mkuu mbona kawaida mkuu sema ukiwa na negative attitude utaona ajabu but normalWakaka? Acha masihara mkuu
Elfu 3 tu?Amen
Voda wako wanakupiga tafu parefu , ukianza kulipa unasikia uvivu [emoji23][emoji23][emoji23] .
Kopa hadi 3000 [emoji23][emoji23][emoji23]
umeanza tena mambo yako😂
As usual, ila Niko msibanikama kawa....
nataka life ban 🤣🤣🤣umeanza tena mambo yako😂
We dogo SI ulisema uko don't, huko mjini Ume end saa ngapi??Location.. mbagala chamanzi
Event.. Naowa
Karibuni sana. Ndugu jamaa na marafiki
Mpe hi mwizi anaye chipukianataka life ban 🤣🤣🤣
Niko pale 🙄🙄 Poor Brainacha basi mkuu...
mbona kama unatuleta
We hata demu huna toka uzaliwe😂😂Namtafuta bahati mbaya apatikani..
Nitafanya juu chini afike hiyo kesho maana kuna baadhi ya watu kila kitu tahusika nacho kuanzia usafili
Naomba unisameheMsamaha ni kubaki na kumbukumbu isiyo na kisadi!