mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,367
- 75,698
malizia sentensi wewe acha uoga😂ila wanakuwa vizuri
Yeaha wanajiita vijana wa makamo .Wazee waliochangamka hakuna kijana wa miak 45😀😀🏃ila wanakuwa vizuri kwakweli sisi tukifika 45 ni vikongwe
Nakuleta wapi Akhu 😂😂Naijua hii😂
Unanileta tu mdogo mdogo😂
Laiti ungejua jinsi nilivyo hopeless😂Nakuleta wapi Akhu 😂😂
Jf humu mnaojifanya watoto ni wakubwa 😂😂.
Upo unazunguka tu kwenye kiti hapo boss .
No , im not even thinking about that .Laiti ungejua jinsi nilivyo hopeless😂
Young, dumb, and broke
gen z ndo tumeanza utu uzima sasa....A bit crazy bado .
😂😂😍😍Eendiwoooooooo sis asisahau na ya kutolea!😊
Karibunigen z ndo tumeanza utu uzima sasa....
😂😂😂Jamani mbona umeenda mbali hebu kma Kuna mzee apite tumuone nielezee wako vizuri wapi,😂😂😂malizia sentensi wewe acha uoga😂
Church girl, [emoji915]Jambo Moja nimelitaka Kwa Bwana,
Nalo ni hili;
Nikae nyumbani mwa Bwana, Siku zote za Maisha yangu.
Niutafakari uzuri wake. View attachment 2679242View attachment 2679243View attachment 2679244
Salimia kaka yako 😀Vyema sana
Habari yako
Njoo Kanisani CocahChurch girl, [emoji915]
No, sequence nzuri sana Hii 😂😂😂Hutak au😂
Shikamoo kakaSalimia kaka yako 😀
Kuna Nini tena?Ila humu ndani kuna unaaa
Yaani tunaandika tu kujiburudisha lakini watu wanatu label sivyo kabisa
Sijapentaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunapakwaza matope hivi hiviKuna Nini tena?
Nihadhithie kidogo [emoji7]