Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mambo ya text bila kumuona mtu😅😅
Inawezekana hiyo traaamu kinoma ni nanihiii mimi nazani baridi. 🏃🏃🏃
Kama mpo karibu msijibaneee wapendwaa maisha ndio hayahayaaa 😛🤠🤠🤠!!
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Nitasubiri by Jux
Huku naondoka , kibaridi hatari nilirudi ghetto tu .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha mbali, 2013 hiyo Nitasubiri ya jux kuna jamaa alikua ananiimbia,

Nyie nimetokaa mbalii wallah, halali nisemee nimezeeka sasa.
 
Tuko karibu na nani tena🤣🤣
Urudi tu Nyakiboo sio kwa fujo hizi.
Kwakweli hebu nifanye nirudi Zangu Nyakiboo kesho skonga mi saii nipo kujichetua tu jijini kwenyuu wenyewe 😊😊😁!!
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Najiandaa dear [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kapiga cm, kasema kuna sehem kaenda akiwa anarudi atanstuaa na mie nianze kutokaa hapaa.
Nenda dear
Baridi hii sio ya kukaa solo kabisa
 
  • Thanks
Reactions: 511
Back
Top Bottom