Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Ngoja nimcheki weekend ndo inaishia hivyo .Mafua dawa yake ndogo
Fanya kumcheki Yoda hapo
Utakaa sawa na baridi itaisha kabisa😅
Nidekepo kidogo
Ngoja nimcheki weekend ndo inaishia hivyo .Mafua dawa yake ndogo
Fanya kumcheki Yoda hapo
Utakaa sawa na baridi itaisha kabisa😅
Kabisa!Unasema kweli 🙄🙄
Usijali, tutailainisha na lotion tuMweh sina ukyuti wowote mie ni Kamera tu rafiki!
Nina sura moja ngumu balaa!!
Naona siku hizi mmewezana, no stress 😅😅🏃🏃Ngoja nimcheki weekend ndo inaishia hivyo .
Nidekepo kidogo
Kulainisha na lotion lol 🤔😄!!Usijali, tutailainisha na lotion tu
Mungu akikupendelea, harafu akaona unafurahia anawapa huo upendeleo hadi wajukuu zako.
Wewe ni 🔥🔥🔥🔥🔥
Nenda kamwambie ahh jinsi navyompenda mi - Diamond .Naona siku hizi imewezana, no stress 😅😅🏃🏃
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nitafiaa kwa Bed wallah.Nilitaka kushangaa hapa
Coca na bed ni kama mgonjwa na uji
Hakika nafurahi sana kuona mnavyoendelea. Japo ilikuwa coincidence tu ila nashukuru kukutana nanyi siku ile.Nenda kamwambie ahh jinsi navyompenda mi - Diamond .
Km ujana wa Selfika tumekulaaa na tumeuchezaaa.Ukija nistueee namieee uduguu!! Enzi hizo tulikua huru sana humuu hakukua na mapepe kabisa nipo nawaza saivi ningethubutu kutuma vile vipensi chupi Humu mimi uwiiiii!![emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!
Acha nizeeke tu kwakweli [emoji1][emoji1][emoji1]!!
Kula good time ya Dsm. [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]Muwe na mchana mwema wapendwaaa ngoja nirare kwanzaaa!!
Hali ya hewa ya Dar leo inanikosha balaaaaa!! Hii ndio hali ya hewa Ya Nyakiboo sasa hata jua likiwaka kunakua na kaubaridii kama kama ka AC vile!
I love it![emoji42][emoji99][emoji42][emoji99][emoji42][emoji99]
🤸🤸🤸🤸🕺🕺🕺😘😘Kula good time ya Dsm. [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
Kata mitaa weweMuwe na mchana mwema wapendwaaa ngoja nirare kwanzaaa!!
Hali ya hewa ya Dar leo inanikosha balaaaaa!! Hii ndio hali ya hewa Ya Nyakiboo sasa hata jua likiwaka kunakua na kaubaridii kama kama ka AC vile!
I love it!😴💤😴💤😴💤
Mungu mwema sana shemHakika nafurahi sana kuona mnavyoendelea. Japo ilikuwa coincidence tu ila nashukuru kukutana nanyi siku ile.
Badae nikiamka !! Sio kwa hali hii ya hewa lol inashawishi kuraraa😛😴💤😴💤💤Kata mitaa wewe
Unalalaje kwa mfano, utasimulia nini ukirudi Nyakiboo.
Nenda hata kidimbwi hapo, au kimara ukale mbuzi katoriki
Nawahi hapa nikajifunike blanketi ..Muwe na mchana mwema wapendwaaa ngoja nirare kwanzaaa!!
Hali ya hewa ya Dar leo inanikosha balaaaaa!! Hii ndio hali ya hewa Ya Nyakiboo sasa hata jua likiwaka kunakua na kaubaridii kama kama ka AC vile!
I love it!😴💤😴💤😴💤
Can't wait to meet you again.Mungu mwema sana shem
Nashukuru pia
Ukiwa kama kaka , rafiki , tunasema asante sana
[emoji482][emoji482][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1739][emoji1739][emoji1739][emoji8][emoji8]
Nenda kwa mchumba ako akakupee jotoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nawahi hapa nikajifunike blanketi ..
Hii nadra sana huku
Pole. Kwani kuna baridi kali??Nawahi hapa nikajifunike blanketi ..
Hii nadra sana huku