Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,210
- 183,059
Kabisa ni kurara tu!Nawahi hapa nikajifunike blanketi ..
Hii nadra sana huku
Yaniii naona kama nipo Nyakiboo vilee joto linanitesa sana Dar huwa natokaje vipelee uwiiii!
Hali Hii tamu sana!😴💤