Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Antonnia

Baadae nakuwekea TBT ya msambaaa, ile ya kung fu km Jackie Chan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kaa mkao wa kusubiriii.
 
I mean Umependeza sanaa shosss anguuu tachi zenuuu hiziiii lol[emoji4][emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimezeeka bhanaa, sahivi cnaa jambooo.
Hata kupanda kwa ngazi nitake photo, ntaangukaaaa.
 
  • Kicheko
Reactions: 511
[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
Baadaeee mida yetuu ileee.

Leo narudia Tbt, nakumbushia enzi hizo, Selfika selfika kweliii.
Ukija nistueee namieee uduguu!! Enzi hizo tulikua huru sana humuu hakukua na mapepe kabisa nipo nawaza saivi ningethubutu kutuma vile vipensi chupi Humu mimi uwiiiii!!🙌🙌🙌🙌!
Acha nizeeke tu kwakweli 😄😄😄!!
 
  • Mshangao
Reactions: 511
Ukija nistueee namieee uduguu!! Enzi hizo tulikua huru sana humuu hakukua na mapepe kabisa nipo nawaza saivi ningethubutu kutuma vile vichupi Humu mimi uwiiiii!!🙌🙌🙌🙌!
Acha nizeeke tu kwakweli 😄😄😄!!
Unasema kweli 🙄🙄
 
Back
Top Bottom