Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

So sad
Mimi mambo ya siasa siyapendi , naona yanatesa tu ukifikiria

Nothing will ever change , just crooked system everywhere .
Ni kweli wengi hatupendi Siasa lakini maisha yetu wote yanaathiriwa na Siasa.

Imagine kuanzia kesho tarehe 1/7/2023 bei ya mfuko wa Cement inapanda, ukiwa unadunduliza Kujenga kibanda chako mahali hauta kuwa umeathiriwa na gharama hizo?

Basi gharama hizo zimejadiriwa na kuridhiwa na Bunge letu ambalo linaongozwa na Wanasiasa 🙌
 
Kumbe kaolewa na mjeda
Basi nimetema ndoano, sitaki heka heka mie🙌😅
Mie humu nawawezeaa wapiii kwanzaaa sewaweziiiiiiiii🙌🙌🙌🙌🙌🙌🤠🤠!!
Acha nikaki na ngamia wangu mmoja anifaaye hata jangwaniii!😊😊!!

Wa kwenye jua kwenye mvuaaaa kwa shida na rahaaaa !!
Kwa maradhi kwa afyaaaa🤠🤠🤠
 
Ni kweli wengi hatupendi Siasa lakini maisha yetu wote yanaathiriwa na Siasa.

Imagine kuanzia kesho tarehe 1/7/2023 bei ya mfuko wa Cement inapanda, ukiwa unadunduliza Kujenga kibanda chako mahali hauta kuwa umeathiriwa na gharama hizo?

Basi gharama hizo zimejadiriwa na kuridhiwa na Bunge letu ambalo linaongozwa na Wanasiasa 🙌
So sad
Naona hadi majirani limewachwea

Kodi za nyumba za watumishi wanakatwa .
 
Leo umenikaliajee kooni wee mzee nipumzishe kidogo lol!!
Wenzio wana data nyingineee wee unazungumzia mjeda 🤠🤠🤠🤠😁!!!!

Ebu selfikeni kwanzaaaa😊!!
Hahahaha...................niwie radhi Mjukuu, nahisi hizi John Walker za leo ninazo kunywa ni kama wameongeza kilevi 🤪🏃🏃🏃🏃
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Back
Top Bottom