Vaa casual hivi but look smartnakuja na suti, navaa kisponsor😂
Heehee kumbe waijua vyedi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bangi mie naijua ikiwa ktk mbegu had ikiwa tayari kivunwaa, tumelimaa sanaa kwetuu.
Wala sio kitu cha ajabu kwangu, ila nimeshangaa yeye kuwa vilee, maana naowajua wote wanaojionesha kabisaa km wanatumia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana siujui huo ..mshamba_hachekwi hapa najua ulikuwa badi hujafikiliwa kuja duniani, wala mihogo original tulikuwa tunaruka ukuta tayari🤣
Lenie unazijua hizi?
shem Tinsley vipi ulikuwa bado hata wazazi wajakaa vikao vya kukuleta duniani. 😂
View attachment 2673973
Okay very wellNiko very fine. My mood is 🏊
Naijua vyedii skankaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heehee kumbe waijua vyedi
Mimi siijui hata sana , labda msokoto nitahisi
Anatumia kidogo
G ni balaa , anatumia ugenius wake everywhere .
naazima kwa mshkaji😂Uitoe wapi wewe,
Gotcha15 minutes only
oya kuna mkesha niliendaga ulikua kama prom night😂Vaa casual hivi but look smart
Drop Dead gorgeous you know what i mean .
I guess ndo mapenzi yalivyoNaijua vyedii skankaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
G kani suprise mnoo kwa kweliii, woiiiiih
Okay niceIm done already, it was 🏊 for 15 minutes olny.
Hehheoya kuna mkesha niliendaga ulikua kama prom night😂
ni couples tu... watu wanafanya church inakua club
couple natoa wapi na ushamba wote huu😂Hehhe
Wewe hukuwa na couple yako
Mimi ningeondoka sitaki kukaa sehemu za hivyo .
Hahaa ungetafuta usingeenda kinyongecouple natoa wapi na ushamba wote huu😂
niliacha kabisa kwenda kwenye mikesha mpaka leo, na washakaji wanapenda kweli wananiitaga.... mimi naona it's not right....
nyumbani kule arusha... mikesha ya mwaka mpya kule wanaparty balaa😂Hahaa ungetafuta usingeenda kinyonge
Ni huko huko Mbeya ???
Halafu wewe unatuzuga basing on your pictures , lazima una mahusiano tu , na wapo wanaokulilia .couple natoa wapi na ushamba wote huu😂
niliacha kabisa kwenda kwenye mikesha mpaka leo, na washakaji wanapenda kweli wananiitaga.... mimi naona it's not right....
Nilitaka nishangae Aru , mna swaga za mbele kabisa 😂nyumbani kule arusha... mikesha ya mwaka mpya kule wanaparty balaa😂
ni wewe kweli tinsley nnaemjua mimi😂unaopoa pisi kali ya ki mbulu hapo , unaenda nayo mkesha
😂😂ni wewe kweli tinsley nnaemjua mimi😂
ntajaribu mkesha wa next year😂😂😂
Why not , usijichoshee mazeeee
Kujibania ndo nini .