Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Aunt una aibu wew kha au hauna njaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangaziii huyu jirani ni mkarimu mnooo, kila Eid lazima apitishe upendo, sasa zikifka sikukuu zetu unakuta sina kitu, aaaaah.

Wee nshasepaa zangu, akinipigia namjibu kuna dharuraaa, uwiiiiih
Hapa napita kwa mate waislamu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Napita kwa ninao waweza, tena napika mwenyewee km wao hawatakiii
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usha sepaaa kitambooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimekumbuka wakat niko Advance, shule zinafunguliwa j3, mie home natoka alhamic, toka alhamc hiyo had j5 baada ya kufungua shule nakua Lodge tyuuh.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ile Lodge nlikua na no ya muhudumu, tulikua tunachat na kupeana taarifa za kuweka chumba cha kufikia.

Ila mie aaaaah
 
Hahah kupika sio lazima Wala usijishtukie mwingine ndivyo alivo tu na Nina uhakika atakuwekea labda urudi usiku sana 😀
 
Usha sepaaa kitambooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimekumbuka wakat niko Advance, shule zinafunguliwa j3, mie home natoka alhamic, toka alhamc hiyo had j5 baada ya kufungua shule nakua Lodge tyuuh.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ile Lodge nlikua na no ya muhudumu, tulikua tunachat na kupeana taarifa za kuweka chumba cha kufikia.

Ila mie aaaaah
Ila aunt unakuwaga na nani huko lodge🤣🤣
 
Hahah kupika sio lazima Wala usijishtukie mwingine ndivyo alivo tu na Nina uhakika atakuwekea labda urudi usiku sana [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo ya kuweka ndio zake, alifanyaga ka tafrija kadogo, kheeeh asiniwekee na mie, nashangaa SAA 4 mtu ananipigia cm fungua mlango niko hapa, kufungua hotpot hilo.

Ndani mazaga zaga ya kushatoooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye kupikaa anajuliaa, huyu m mwera sio mchezo.
 
Ila aunt unakuwaga na nani huko lodge[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangaziii taratibuuu kwanii, hivii nikikumbukaa nachekaa sanaa, sisi hatukua wa kuachanaa.

Mapenzi ni utapeliiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom