Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Nafuga rastaUsihame, urembo ni bora shem langu. Vumilia tu
Niwe ras
Huku sipawezi .
Nafuga rastaUsihame, urembo ni bora shem langu. Vumilia tu
Nafuga rasta
Niwe ras
Huku sipawezi
Hehee kumbe mbona sina taarifa 😂😂😂Taraka inakuhusu shem. Rasta pekee zinazovumilika ni zile za pale, zingine big no
Hehee kumbe mbona sina taarifa 😂😂😂
Niilikuwa nazitamani 😂😂😂
Asante shemNimeshakupa za ndaaaani kabisa.
Asante shem
Nibaki huku huku basi.
Mwishowe iwang'oe masikio😂Dawa ni kali sana
Siku jamani niliunguzwa hdi kwenye sikio . ndo nikaona hapa ni shida tu tunazitafuta .
HapanaChezea fursa wewe😂😂 unaweza kukuta mpaka mama mchungaji aligeuka hapo😂
Lini tukusindikize kijana
Acha wivu totooshowoff🚮🚮
Lenie mama kanji mbona bagia hazijafika bandarini.Acha wivu totoo
Jana nimesuka avomaliza si mbele ananirashia hio ya muhogo Alooooooohh nimeunguajeee!Mwishowe iwang'oe masikio😂
[emoji38] poleJana nimesuka avomaliza si mbele ananirashia hio ya muhogo Alooooooohh nimeunguajeee!
Yani ile anapaka dakika hiohio inaumaaa uwiiii[emoji119]! Dawa ni kali balaaaa sirudii kuipaka[emoji119][emoji119][emoji119] !!
Acha tu yaniii!![emoji38] pole
Angekupaka ya kawaida tuAcha tu yaniii!!
Asante tena ngoja nipapake mafuta tena 😄😄😁!
Kwa nani tena mdogo wangu?
Si bora aliepaka nywele kiujumla walau zinakua nyinyi nyingi walau mimi nimesuka kawaida hutu twa mbele twa kulaza na jeli ni alirundikaa yeuwiiiii!! Dakika hio hio nakwambia 🙌🙌🙌🙌!!Angekupaka ya kawaida tu
Hiyo ya mihogo si ndio Tinsley kaambiwa asianzie chini sana,,
Sasa huyo kakupakaza nywele za mbele kabisa jamani😂
coca wee ni chizi ujueee😂😂😂🤣![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] style mpyaa imeingia mjini.View attachment 2669302