Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Washenzi ,waliniharibia nywele,nimehangaika sn
Maana baadae walitoa aina tofauti km 8 hivi
Ile nayotumia ikaondolewa kabisa sokoni🙌
Nimeteseka mpk kuja kutulia kwenye mega
Kha kumbe
Ba ukute na mimi ilikuwa hivyi
Nimekoma kabisa

Mimi ilikuwa 2017 hivi ndo nilitumia dawa yao ,

Mega nzuri sana ,na imetulia .
 
Yaaani unakuwa kama mtumwa
Baada ya muda uweke tena

Wenye hela za mawazo za kuunga ,hiyo mikiki hatuwezi [emoji23]
Yani mtumwa mtumwa 😂😂
Ndo maana nimeahamia huku kwa muhogo .

Dawa feki sana yaani unapaka leo baada ya siku nne , nywele hzo 😂😂😂

Kuna wakati kila baada ya mwezi napaka dawa na bado steaming .

Cheap is good sometimes
😂😂😂😂
 
Yani mtumwa mtumwa [emoji23][emoji23]
Ndo maana nimeahamia huku kwa muhogo .

Dawa feki sana yaani unapaka leo baada ya siku nne , nywele hzo [emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna wakati kila baada ya mwezi napaka dawa na bado steaming .

Cheap is good sometimes
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji170][emoji170] mandeiiii
Hallah!! Mlio kazini nendeni kupataa breakfast.

Majobless tunarandaa mitandaoni, huku njaa inataka kutoboa utumbo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ase nimechekaa sana mpaka nalia
 
Back
Top Bottom