mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,759
mwanaume akibakwa ujue alitaka mwenyewe😂Na unavyoombea hilo litokee fasta. 😆
mwanaume akibakwa ujue alitaka mwenyewe😂Na unavyoombea hilo litokee fasta. 😆
dogo mshamba_hachekwi 🤣Awwwh asante shem kama shem 😍😍😍
Mimi na best friend wangu 😂😂😂Mnaomba na nani mbona una fail big time.
View attachment 2669185
Weh ngoja nitulie basiJichanganye kwa huyo dogo mshamba_hachekwi likujie jeshi🤣
Hawataniwi hao, anajua boom lipo, shauli yako🏃🏃🏃mwanaume akibakwa ujue alitaka mwenyewe😂
sina boom ataandika maumivu😂Hawataniwi hao, anajua boom lipo, shauli yako🏃🏃🏃
hofu imepungua kidogo😂Mkubwa wapi 😂😂
Mie ni mini adult 😂😂
sina boom ataandika maumivu😂
Hahaha usiwaze mtoto mwenzangu .hofu imepungua kidogo😂
Naona unamvutia gizani mshamba_hachekwi utajua hajuiHahaha usiwaze mtoto mwenzangu .
muache dada wa watu😂Naona unamvutia gizani mshamba_hachekwi atajua hajui
Siwezi kumchuna kihivyoNaona unamvutia gizani mshamba_hachekwi utajua hajui
Cha mtu huliwa na mtu bromuache dada wa watu😂
Siwezi kumchuna kihivyo
Yaani hizo dawa zenu mnaziweza wenyewe 😂Ziko fresh na hazijakamaa hata
Kuna sehemu tu nimeungua
Ni kama tu kuungua kwa relaxer .
Dawa ni kali sanaYaani hizo dawa zenu mnaziweza wenyewe 😂
Siku nawekwa mara ya kwanza,mama yangu alikaa pembeni
Alivyosikia tu nasema pembeni kumeanza kuuma akasema muosheni mtoto haraka😂😂😂
Zilioshwa nywele zikawa vilevile kama hazijapakwa dawa😆
Ukitaka uzuri sharti uzurike.Dawa ni kali sana
Siku jamani niliunguzwa hdi kwenye sikio . ndo nikaona hapa ni shida tu tunazitafuta .
SahihiUkitaka uzuri sharti uzurike.
Unaona kuunguzwa kwa juu juu tu, vipi athari za hiyo dawa inayoingia mwilini.
Usihame, urembo ni bora shem langu. Vumilia tuSahihi
Athari ni kubwa sana , ndo maana nataka nihame huko kwenye dawa kali .