Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Dada yangu ananicheka huyo na kuniambiw si umepaka dawa wewe 😂😂😂 .

Hii ya muhogo kashangaaa ati
Muhogo oyeee 😂😂😂
Oyeeee😆😆😆😆😆😆🔥🔥🔥
Hatari sana nyie watu na hizo dawa zenu🤣
 
[emoji170][emoji170] mandeiiii
Hallah!! Mlio kazini nendeni kupataa breakfast.

Majobless tunarandaa mitandaoni, huku njaa inataka kutoboa utumbo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂
UE Bado njaa unaipatia wapi?
Boom limekata?

Kula la mwisho mwisho
Huku mtaani wenge la kukosa bumu nihatari
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
UE Bado njaa unaipatia wapi?
Boom limekata?

Kula la mwisho mwisho
Huku mtaani wenge la kukosa bumu nihatari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Boom limekataa na nisha sahauu.

Njaa haijui km kuna UE dyadyaa,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtaani kula buree, kulala buree, no stress.
 
Back
Top Bottom