Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,290
- 108,311
Fanya kwa shipping...kuna mchaga mmoja yupo Germantown Maryland , huwa anavusha kwa maji
Nilirudi likizo Tanzania na mabegi kama 10 nimewaletea ndugu, jamaa na marafiki, hususan shangazi, mama wadogo na dada zawadi, vi perfume na handbags. Vi suti suti kwa cousins, vi laptops, vi camera vi vikorokoro kibao. Nilitumia kama US $20,000 hivi kwa shopping hiyo, kwa sababu nilikuwa sijarudi nyumbani kitambo, na sikutaka kurudi mikono mitupu kwa wapendwa wangu niliowamiss sana.
Airport Dar wakawa hawataki kukubali kwamba mabegi yote yale zawadi, wakawa wanadai nafanya biashara.
Wangekuwa hawana ujinga kama huo kila mwaka ningekuwa napeleka mzigo, tena si wa kuuza, wa kugawa tu.




