Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,847
Jr[emoji7][emoji173][emoji7][emoji173][emoji7]
Jr[emoji7][emoji173][emoji7][emoji173][emoji7]
Nimefikia wapi na nani? [emoji23]
Asante baby 😂😂😂😂Umependezaa......
CHAT NA PICHA
Saaanaaa jamani
Alikata...akanambia umechange ID unadhani sitokujua ila sahivi simuoni oniStory yako imeishia katikati...kwa hiyo alivyotoka kifungoni alikata tamaaa just like that?[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwandiko. Unapo log in kwa id nyingine inabidi ubadilike kabisa.Ukiacha na kuunganishwa kuna watu humu ni majasusi wa kutambua watu wenye id zaidi ya moja na sijui wanatambuaje,, imagine unachat na watu kwa id nne tofauti unadhani hawajui kumbe wanajua sana ila wanakuchora tu.. mwisho wa siku unakuta wanakusema kwa codes utasikia halafu yule fulani naye anajishaua na viid vyake uchwara vile anadhani hatumjui duuh
Asante baby [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HallelujahNa siku ndio inaisha kama hivi, ngoja nikanywe konyagi sasa View attachment 1274499
Sawa kakaWatakujaa....mda sio mrefu[emoji16][emoji16][emoji16]
😂😂 ndio ndioChap chap [emoji23]
Nimekuja one time🏃🏃Upo dar?
Mimi rafiki zangu ni hapa jukwaani tuu jamani!! Na almost wadada wote! Huko kwenye dunia ingine sina kabisaa naejuana naye!
Tho, Hongera sana kwa uaminifu!! Ila nakudai kitalu changu bado
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Kuna mtu anaibiwa hapa
To you...happy birthday
Unapigaje simu nite vile?[emoji57][emoji57][emoji57]Pokea simu basi jamani