Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Baby..
Missing you..
Missing you..
Kuna limkaka limoja humu ye alikuwa akiniqoute ananibadilishia content ya comment yangu..ataweka neno baby au upuuzi wowote atakao jisikia, nikareport akakula ban ya mwezi mzima![]()
Sikupenda maana mtu akija kucheck atahisi me ndio nilikuwa najibebisha
